Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kilazaza
 
Ivi yupo insta nimtongoze? Dawa ya watu kama huyu azae na baba 4 tofaut
 
Ameongea ukweli. I absolutely support her reasoning. Sisi wanaume tukipata kacheo kidogo majivuno na jeuri kibao. Utendeji wa kazi zero. Muda wote kujisifu tu. Ningependa kuona Raisi ajeye anakuwa MWANAMKE TENA( I mean 2030).
 
Huyu mbwa mimba alitiwa na baba yake au? Hii nafasi haiwezi na itamchafua huyu mbwa malaya
 
Kauli za kibaguzi,
Hii ni jeuri inakuja baada ya Muhimbili kuanza kuwapandikiza mbegu maabara, sasa ifike wakati wanaume wazuie mbegu kwenda maabara tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…