Jokate nae yumo?

Unaona unavyozid kuonesha ujinga wako,mtu hata alitumia nokia ya kitochi na wewe juma lokole ukawa na apple haikufanyi kuwa smart upstairs,logg off uende kwa jamaa zako,huku utakuwa kituko tuh,just a piece of an adhice

uache upunga sasa,ujinga unapimwa kwa matokeo sio mabishano yasiyo na mwisho humu jukwaani.

halafu kuchangaya kiswahili na kiingereza kwenye sentensi moja ni aina ipi ya ujinga hii!!!maana kama shule unaonekana ulihudhuria.
 
Hivi mkuu wa wilaya ambaye ni CCM alikuwa ni huyo Sabaya peke yake, mbona wengine hawatajwi?
 
Hivi mkuu wa wilaya ambaye ni CCM alikuwa ni huyo Sabaya peke yake, mbona wengine hawatajwi?

hii mada ni madam jojo katajwa mkuu.
wanajaribu kusema alikuwa mweka hazina.

kwa hapi tutasema ndiye alikuwa anagawa silaha,chalamila ndiye mchoraji,na jeri alikuwa anawahifadhi wakitoka kubaka watu.
 
Shenzi mwenyewe,unanikasirikia mimi kwani huyu dhalim wenu nimemuua mimi?
Hakuna mpumbavu atafanya mnachotaka, pengine mtaharibu zaidi.

Nyinyi ni nani kila mtu mnataka akamatwe?

Mnajenga visasi, sasa hilo sanamu linafikiri likiondoka litanusurika?
 
hii mada ni madam jojo katajwa mkuu.
wanajaribu kusema alikuwa mweka hazina.

kwa hapi tutasema ndiye alikuwa anagawa silaha,chalamila ndiye mchoraji,na jeri alikuwa anawahifadhi wakitoka kubaka watu.
Eh makubwa!
 
Hivi we mshana kweli si inawezekana ndo kigogo, ila unawaloga polisi mpaka tiss wanashindwa kukukamata.
 
Umemjibu vyema huyu kenge
 
Hapa bongo Kuna political game gani?
Zaidi ya ujinga upumbavu na ubabe wa ccm
 
Sasa haka nako ka nini jamani !! kwanza hakana mume!!! mkaachie bure.Mke hapigwi marungu wewe,hupigwa kwa upande wa khanga.

mbaya zaidi tena Mdada weee!! Mleta Mada wewe Rijali kweli au...upande wa pili?? Any way....


Mbali na hayo ya uzuri ni mremboooo!! Huyu mdada.jamani khaa!! Sijui Body guard ni ke au me!!

Hapa Lazima Ali kiba ajitolee kufungwa yeye.ili jokate awe huru.mdada kaipaisha kisarawe juu. Ke sijui wana kismat gani jmn...

Lkn pia naona mnahamu sana ya kushambuliwa na USA. Sababu
huyu Dada ni Mmarekani haswa kwa uraia wake!!

Na hajawai kuukana huo uraia wake hata siku moja. Jiwe liliingia kichwakichwa!! Bila kuhoji!!!


Na asikwambie mtu Marekani inapenda sana raia wake ni
Usipime!!

Siyo km bongo yetu hiyo....Wanachukia raia wao wa ughaibuni si kawaida eti tunaringa!!

Yaani ughaibuni wanatupenda kuliko hata ndugu zetu Bongo ndo maana haturudi tutakufia hukuhuku nawaambieni!!

Achilia mbali wa tanzania kwa ujumla wao!!

Mi Ndgu bana weee!! Ni sumu mbaya.. hata wakikuangalia hivi tu!

Kwa kile kijicho huta tamani kurudi kwao tena kamwe kisa diaspora!!

Richa ya Wengine umewapatia misaada kedekede lkn???heee!!!
 
Hakuna mpumbavu atafanya mnachotaka, pengine mtaharibu zaidi.

Nyinyi ni nani kila mtu mnataka akamatwe?

Mnajenga visasi, sasa hilo sanamu linafikiri likiondoka litanusurika?
Mjane wa mwendazake tuliza kishundu,wahalifu wote lazima washughulikiwe.
 
Eeeh jokate mmarekani halafu akapewa usaidizi wa raisi wa Tanzania?

Halafu mkuu umetunanga sana watanzania.
 
Jokate ndio BOT ya Sabaya , mahera ya wizi ,ujambazi, rushwa yalikuwa yanavurumushwa kwenye maVX kwenda kuwekwa Kisarawe .
Ha ha haa,najaribu kuwaza tu,

Na inawezekana zilipitia kwa "Joukate" kwenda kwa Mwendazakey,ha ha haa,mawazo bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…