Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Mtu mzima unapokuwa mbea inatia shaka akili yako,huenda haupo sawa,pia unapotoa thread jaribu kutupa na mifano ya chanzo cha hiyo taarifa,sio kutuhamishia ya kwenye kahawa na kutuletea humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gogoKi ndo encyclopedia yako? Au ndo chanzo chako kikuu cha umbea?Kipilimba kipindi yeye na kikosi chake kilichokuwa TISS kikiratibu utekaji wa wakosoaji mitandaoni.
[emoji117]Tunajulishwa kuwa OMBI LENU TUKUFU limefika mezani kwa KMK Katanda ili Rais atoe kibali cha kumkamata na kumhoji JOKATE MWANGELO(pichani) - kwa tuhuma za kuhusika kuhifadhi pesa https://t.co/2s7E5Bqt61
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemchafua au kajichafua?Hii ya moto zaidi hata Jokate mweeeee wamemchafua mtoto watu kashfa nzito hizooo daaaaa
Kwani Chadema wanamiliki vyombo vya dola? Wacheni Sheria ichukue mkondo wakeChadema bwana kwahiyo mnataka wafungwe wote wale vipenzi vya mwendazake?
Ila mbilikimo amelitia Taifa hasara kubwa na bado anaendelea kuchezea kodi zetu kuwalipa wabunge hewa posho na mishahara.Mwendo ni kituo hadi kituo mpaka tutakapofika kwenye kwere ya zile billion 26 za matibabu India
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda utasema....ukweliWamemchafua au kajichafua?
Na bwana yule kamshikia bango kweli huko Instagram!!Kuna wakati tusimwamini sana bwana yule
Zake zinahesabikaIla mbilikimo amelitia Taifa hasara kubwa na bado anaendelea kuchezea kodi zetu kuwalipa wabunge hewa posho na mishahara.
Hajua kubalansi habari, amejaa chuki sana.Na bwana yule kamshikia bango kweli huko Instagram!!
Aiseeeh .....Kama huna uhakika uwe unaweka akiba ya maneno, kwa taarifa zaidi Nassari naye yumo kwenye genge la sabaya.
Vijana mnatia aibu kwa wivu na chuki kwa wenzenu wanaopata sifa kwenye uongozi. Mumeshirikishwa kama kasuku na mabwanyeye kumfitini sabaya sasa mnahamia kwa jokate. Kama mko kijiweni hamuoni kazi ya kufanya au hamuoni fulsa zilizopo sio makosa ya kina sabaya na kokate.Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.
Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.
Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
View attachment 1809814
Vijana mnatia aibu kwa wivu na chuki kwa wenzenu wanaopata sifa kwenye uongozi. Mumeshirikishwa kama kasuku na mabwanyeye kumfitini sabaya sasa mnahamia kwa jokate. Kama mko kijiweni hamuoni kazi ya kufanya au hamuoni fulsa zilizopo sio makosa ya kina sabaya na kokate.
Mnaelekea kuchosha, jiandaeni na nguvu ya kuwapingaKwani Chadema wanamiliki vyombo vya dola? Wacheni Sheria ichukue mkondo wake
Jamii forum nayo imekuwa ya AJabu Sana,msoga inc iko kwenye mission ya kukita mizizi.
inaanza kwa kuhakikisha inafuta legacy na aina yoyote ya masalia ya mwendazake.kisha ikikaa imekaa.
bibie na jicho lake la peponi kashatuuza[emoji23][emoji23][emoji23].
tumekwiiishaaa,ni swala la muda tu kila mtu atakiri.
Shenzi mwenyewe,unanikasirikia mimi kwani huyu dhalim wenu nimemuua mimi?Mnaelekea kuchosha, jiandaeni na nguvu ya kuwapinga
Nyinyi kila mtu akamatwe, shenzi tukikamata wote unafikiri huyo jumong atanusurika?
Jamii forum nayo imekuwa ya AJabu Sana,
Sasa tunakuwa vipi jukwaa moja na wajinga wajinga kama wewe wote JF Experts??
Inatia hasira sana
tukichuja wasio na akili hatutawaacha wanaotumia tecno na infinix.