Jokate nae yumo?

Jokate nae yumo?

Mtu mzima unapokuwa mbea inatia shaka akili yako,huenda haupo sawa,pia unapotoa thread jaribu kutupa na mifano ya chanzo cha hiyo taarifa,sio kutuhamishia ya kwenye kahawa na kutuletea humu.
 
Kipilimba kipindi yeye na kikosi chake kilichokuwa TISS kikiratibu utekaji wa wakosoaji mitandaoni.
[emoji117]Tunajulishwa kuwa OMBI LENU TUKUFU limefika mezani kwa KMK Katanda ili Rais atoe kibali cha kumkamata na kumhoji JOKATE MWANGELO(pichani) - kwa tuhuma za kuhusika kuhifadhi pesa https://t.co/2s7E5Bqt61

Sent using Jamii Forums mobile app
gogoKi ndo encyclopedia yako? Au ndo chanzo chako kikuu cha umbea?
 
Na bwana yule kamshikia bango kweli huko Instagram!!
Hajua kubalansi habari, amejaa chuki sana.
Nimejifunza kitu kwa Lissu, japo mara kadhaa alimnyooshea kidole lakini alipinga kushikiliwa na TAKUKURU muda mrefu kinyume na sheria.
Watu tujifunze kuwa wakwwli na kubalansi habari
 
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.

Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.

Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
View attachment 1809814
Vijana mnatia aibu kwa wivu na chuki kwa wenzenu wanaopata sifa kwenye uongozi. Mumeshirikishwa kama kasuku na mabwanyeye kumfitini sabaya sasa mnahamia kwa jokate. Kama mko kijiweni hamuoni kazi ya kufanya au hamuoni fulsa zilizopo sio makosa ya kina sabaya na kokate.
 
msoga inc iko kwenye mission ya kukita mizizi.

inaanza kwa kuhakikisha inafuta legacy na aina yoyote ya masalia ya mwendazake.kisha ikikaa imekaa.

bibie na jicho lake la peponi kashatuuza[emoji23][emoji23][emoji23].
tumekwiiishaaa,ni swala la muda tu kila mtu atakiri.
 
Jamii forum nayo imekuwa ya AJabu Sana,

Sasa tunakuwa vipi jukwaa moja na wajinga wajinga kama wewe wote JF Experts??

Inatia hasira sana
 
Jamii forum nayo imekuwa ya AJabu Sana,

Sasa tunakuwa vipi jukwaa moja na wajinga wajinga kama wewe wote JF Experts??

Inatia hasira sana

tukichuja wasio na akili hatutawaacha wanaotumia tecno na infinix.
 
tukichuja wasio na akili hatutawaacha wanaotumia tecno na infinix.

Unaona unavyozid kuonesha ujinga wako,mtu hata alitumia nokia ya kitochi na wewe juma lokole ukawa na apple haikufanyi kuwa smart upstairs,logg off uende kwa jamaa zako,huku utakuwa kituko tuh,just a piece of an adhice
 
Jamani nampenda sana huyu dada naomba isiwe kweli[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom