Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Dhaaaa!!! Kwa hili kiba
Anamakosa makubwa sana
 
Sawa tatizo na nyie mnakuwa romantic tukiwa wallet imetuna ila tukifirisika mpaka tunapandaa daladala mnatukimbia! Pia hata tukiwahudumia mnasema haturaridhishi mnatafuta hadi ma house boy wetu! Moyo sukuma damu! "Ajaribu kwingine"
ebu muombe msamaha joketi mkuu si ajabu ata kumhonga kiba kamhonga,joketi anajua kuzisaka japo katoka familia inayojiweza.sio demu anaeishi kwa kutegemea papuchi yake kama wabongo movie wengine
sema naye ana kaugonjwa ka kupenda watu maarufu kama madame.na katamtesa mpaka akome otherwise abadilike
 
kiba anamkosea sana huyu binti ipo siku atakumbuka umuhimu wake
Surely huyu kiba atakuja
Kuweka mikono kichwan
Hapaswi kumfanyia haya anayomfanyia
Huyu bint. Af jojo ameoza kabsa kwake
 
Ukiona hivyo c chaguo lake yy achape lapa tu
 
Haaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.

Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu
Hafu kiba JoJo alikuwa ana msupport had financially ila ndo hivo tena ajipendekeze then mtu hamjali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…