usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
I wish jojo angepta hapaipo siku tu atapata mtu aliye sahihi kwake
Akafarijika kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I wish jojo angepta hapaipo siku tu atapata mtu aliye sahihi kwake
kiba anamkosea sana huyu binti ipo siku atakumbuka umuhimu wakeDhaaaa!!! Kwa hili kiba
Anamakosa makubwa sana
ebu muombe msamaha joketi mkuu si ajabu ata kumhonga kiba kamhonga,joketi anajua kuzisaka japo katoka familia inayojiweza.sio demu anaeishi kwa kutegemea papuchi yake kama wabongo movie wengineSawa tatizo na nyie mnakuwa romantic tukiwa wallet imetuna ila tukifirisika mpaka tunapandaa daladala mnatukimbia! Pia hata tukiwahudumia mnasema haturaridhishi mnatafuta hadi ma house boy wetu! Moyo sukuma damu! "Ajaribu kwingine"
Mjini kuna mambo.Kumbe kiba aliwekwa ndani kwa miaka 4 na madam rita...!!!Dah nimepata wivu wa ghafla😀😀😀
Surely huyu kiba atakujakiba anamkosea sana huyu binti ipo siku atakumbuka umuhimu wake
Endelea tu kushika jembe huku mjini hautakuwezaJojo ndio nani?
Sijui kama atafika salama anakokwendaKiba anakiburi Sana. Jokate nae sijui nini kinamsumbua, atulie.
Sasa hujui anachanganywa na nn c dushe tuu ndo linamchanganyaKiba anakiburi Sana. Jokate nae sijui nini kinamsumbua, atulie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Endelea tu kushika jembe huku mjini hautakuweza
kiba kalelewa kimaadili.komaa kaka kibaKiba anakiburi Sana. Jokate nae sijui nini kinamsumbua, atulie.
Ukiona hivyo c chaguo lake yy achape lapa tuBwana apewe sifa.
Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma.
Jokate is my role model, na Wema, na Kylyn. Why specifically ni watu wajanja wajanja mjini, kama mimi wanapenda mambo mazuri afu hawataki kifanya kazi. Just like me, they love success, living larger than life, making history ila they are not ready to toil for the sucess. Hawaishi kwa katibaaaa za ma bibi. Kwamba maisha na kuajiriwa NSSF, Kulipwa vilaki hivo na kuzeeka. They break the rules.
Jojo is not a good business lady but is ambitious. Kwa capital aliopewa na wachina, alitakiwa awe next only to Bakhresa, GSM, METL na Manji. Tatizo hakuanza ku hustle chini, ana bahati na maisha akipata wazo anapata fundings.
Mchango wa Jojo kwa kiba ni mkubwa sanaaaa, tena sanaa. Jojo is dream of many men hapa Tz. Watu kibao wanataka kumuoa Jojo leo kesho. Ila Jojo anapenda bad boys kama Dimond, Hasheem, Kiba. Wote watoto wa kitaaa, hustlers. Sasa hawa angetuachia sisi dada zao ndo tunawamudu wa uswazi wenzao.
Jojo kaanza na Kiba hata hana comeback ya kuelewekaaa. Ndo katoka kufungwa na madam Rita zaidi ya miaka sijui 4, haimbi, haingii studio, hafanyi show analelewa tu. Ndo maana madam sahivi team Mond, bado analilia penzi la Kiba.
Wengi tulisema Jojo ame downgrade, come on Kibaaaa! Mtoto wa Kariakooo. Nakumbuka mimi nilichamba ofisi nzima kuwa Jojo anayachezea maishaaa. Sasa Kiba ana nini, mwenye bahati habahatiki. Lakini her love was genuine. She was supportive of him always. Alijitoa akili. Hata kina Gigy mitako wakisema wameliwa ndogo na Kiba, she was still with him.
Kiba doesnt know how to treat his women. No wonder baby mamas wake wanne hakuna anaewajua. Na spora wa 5, sijui ndo anakamiliasha 4 hio. Mwanaume mchoyo yule sijapa kuona. Simkubali Dimond katika mambo yake ya umaluuni na kudhalilisha wanawake ila Dai anajua how to treat all his ladies. Mmanyema mwingi yule ila anajali sanaa wanawake sanaa. Enzi za Wema mmanyema anavunja bank kila birthday ya bidada anampa magari ya nguvuuu. Hivi vimchepuko mara Dai kampangishiaa nyumba yule video queen, mara Mobeto kapew trip za south na ulaya. Yaani hakuachi mkavuu. Ukiwa mwanamke wa Dai unapata pata vitu. Afu hajibaniiiiii yule mmanyemaa dunia nzima watajua Dai kakupendaa, atakupeleka mpaka kwa mama yake. Nisingekuwa above 40 ningejipeleka hahaa. Sasa Kiba mchoyooo anamjali mdogo wake na mama mtu na yule dada yao Zabibu. Sijawahi ona mwanaume mchoyo kama yule.
Alikuwa ana mkana Jojo. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukukana mbele za watu. Amemkana Jojo zaidi hata ya mtume Petro alivomkana Yesu. Jojo yupo tu, holding strong. Hajawahi mpa kitu chochote Jojo. Raha ya kupewa upewe hadharani kama enzi Dai anampa Wema, unajiona kweli kijike, Kiba hajampa Jojo chochoteee sio birthday sio nini. Events za Kiba jojo yupo kumsupport kama kwenye tuzo, anaenda peke yake jinaume lilivo na roho ngumu red carpet linapita peke yake, so selfish, linajopst peke yake, Jojo baadae anakuja kupost nae vipicha vyake. Hata hii ya juzi walimchunia she went maskini akakaa pembeni waka muignore ila she went. Events za Jojo Kiba hatii mguuu. Kiba atakuwa mha si kwa roho mbaya ile. Insta Jojo anampromote Kiba watu wa vote, waangalie single, kiba hata kupost vibanio vya bae wake hata siku moja. Mwaka jana alizindua vibanio, no man to support her, Kama single lady Jojo maskinj. Kiba hajatia mguuu wala kupost.
Mpaka jana nasikiza interview maskini Jojo bado anampenda Kiba, i could see it and hear it from her. She deserves better. After everything still anampenda Kibaaa na ana msupport.
Mimi ni team Kiba damu, sio hapa nimemsifia Dai kidogo mdhani nime decamp, walaaaa ila kama advocate wa haki za wanawake Kiba apunguze kuwa Osokoni. Kwenye issue za mapenzi Dai takes the W, and Kiba please hold the big L.
Hafu kiba JoJo alikuwa ana msupport had financially ila ndo hivo tena ajipendekeze then mtu hamjaliHaaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.
Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu