Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Jokate ni mcheza filamu na Ali kiba ni mbongo fleva, kwa hiyo wote ni wasanii na kuna uwezekano mkubwa ikawa wanacho kifanya ni usanii tu!
 
Ana masikio hasikii, ana macho haoni.Aachane na huyo Kiba, mchumba asiyekujali na anamdhalilisha kila Mara tens mbele za watu.Jockate ajuwe anajiabisha sana. Hata kama ni upofu wa mapenzi kwamba haoni, ajuwe anaaibisha Hata wszazi wake pamoja na ndugu zake. Hamna ndoa hapo.
 
Kwaio unasema mtoto wa mjini jojo alikuwa anagawa Free p kwa kiba tangu miaka hiyo
 
Jamaniiiiiiii nimeshindwa kucheka au kuhuzunika.

Ila ni kweli jamani japo na mimi ni team Kiba damu ila ukweli niuseme tu.
Diamond anayajua hasa mahabat,akiwa na mwanamke hadi utaona wivu atakavyomtreat.

Na raha ya kupendwa jamani watu wajue unapendwa,mambo ya kupendana sirini huwa siyataki kabisa.
Mimi ni team mapenzi ya wazi hehehe

Pole Jojo,jikusanye sasa uachane na Kiba atakupotezea muda,hili jambo huwa nasema jamani kwa wanaume age is just a number ila sio kwa wanawake.
Ukishavuka 30 bila kuolewa au mahusiano ya kueleweka ni tatizo tayari.
 
Mimi naamini Jojo kapewa zawadi na Mungu huyo King kiba...sasa sijuwi unataka Mungu ampe nini tena jojo
Unampigania sanaaa kaka yako, the question is, wewe ni zabibu au Abdul??
 
Mtumeee yule mtoto wa sporah kazaa na kiba ngachoka uyo mtoto wa tano sasa aisee namuonaga naywamitego womanizer kumbe kuna gwiji la kwichikwichi madam rita nae anatia aibu kufunuliwa na vitoto ndio maana mzee machache akajiolea klyn aliona asije kufa na gono madam mchepukaji machoni ka ma mtu loo! Kajojo nako kakome kipind kile vi ex vya mond vili join force kumkomoa akaona kubunyuliwa na kiba kamkomoa mondi kumbe anakomoa papuchi yake kabwagwa puu! Zamu ya seven sasa alie sanaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiukweli kiba ni mshamba flani ivi.. ukimsililiza kwenye interview zake ndio utamsoma.. anamajivuno yakiduwanzi sana
 
Tatizo la wanawake superstars wanataka lazima waolewe na wanaume superstars..hapo ndo wanaharibu..kwanini huyu Jokate asitafute mwanaume kama mimi nitakayempenda na kum support na kumuoa? And she will live happily ever after!
Tatizo nyota.
 
Nilibahitka kuona sehem tu ya video clip ya tukio la Kiba, Mama Kiba na Jok,kiuhalisia inategemea na familia.Kuna watu wengine mambo ya Boy friend na Girl Friend hayana nafasi kuwa disclosed kwenye public, ndiyo reaction niliyoiona. Hata kwetu, sikuwahi kuthubutu kusema huyu mimi ni Rafiki yangu wa kike, kwanza ningemkwaza sana mama baba na wote.
Siyo issue, Kiba kula tu Mzigo, mpe tu ukweli kwamba familia yako haitaki mambo ya Kimagharibi hayo.
 
Umeandika vizuri mpk nimefurahi wallah[emoji1] [emoji6] Kiba hana mapenzi na jojo ni km anajipendekeza tu
 
Haaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.

Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu
Wanawake Wa siku hizi hawana ishu hata kdg Lara ,

Hapa ni mwendo Wa hapa kazi tuu
 

Jamaa kamkunja kinoma noma , demu kapagawa jamaa kapoteza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…