mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Jokate ni mcheza filamu na Ali kiba ni mbongo fleva, kwa hiyo wote ni wasanii na kuna uwezekano mkubwa ikawa wanacho kifanya ni usanii tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naamini Jojo kapewa zawadi na Mungu huyo King kiba...sasa sijuwi unataka Mungu ampe nini tena jojoIla Jojo angemtupa tu uyo kiba angepata wakutoka kwa Mungu
Kwaio unasema mtoto wa mjini jojo alikuwa anagawa Free p kwa kiba tangu miaka hiyoBwana apewe sifa.
Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma.
Jokate is my role model, na Wema, na Kylyn. Why specifically ni watu wajanja wajanja mjini, kama mimi wanapenda mambo mazuri afu hawataki kifanya kazi. Just like me, they love success, living larger than life, making history ila they are not ready to toil for the sucess. Hawaishi kwa katibaaaa za ma bibi. Kwamba maisha na kuajiriwa NSSF, Kulipwa vilaki hivo na kuzeeka. They break the rules.
Jojo is not a good business lady but is ambitious. Kwa capital aliopewa na wachina, alitakiwa awe next only to Bakhresa, GSM, METL na Manji. Tatizo hakuanza ku hustle chini, ana bahati na maisha akipata wazo anapata fundings.
Mchango wa Jojo kwa kiba ni mkubwa sanaaaa, tena sanaa. Jojo is dream of many men hapa Tz. Watu kibao wanataka kumuoa Jojo leo kesho. Ila Jojo anapenda bad boys kama Dimond, Hasheem, Kiba. Wote watoto wa kitaaa, hustlers. Sasa hawa angetuachia sisi dada zao ndo tunawamudu wa uswazi wenzao.
Jojo kaanza na Kiba hata hana comeback ya kuelewekaaa. Ndo katoka kufungwa na madam Rita zaidi ya miaka sijui 4, haimbi, haingii studio, hafanyi show analelewa tu. Ndo maana madam sahivi team Mond, bado analilia penzi la Kiba.
Wengi tulisema Jojo ame downgrade, come on Kibaaaa! Mtoto wa Kariakooo. Nakumbuka mimi nilichamba ofisi nzima kuwa Jojo anayachezea maishaaa. Sasa Kiba ana nini, mwenye bahati habahatiki. Lakini her love was genuine. She was supportive of him always. Alijitoa akili. Hata kina Gigy mitako wakisema wameliwa ndogo na Kiba, she was still with him.
Kiba doesnt know how to treat his women. No wonder baby mamas wake wanne hakuna anaewajua. Na spora wa 5, sijui ndo anakamiliasha 4 hio. Mwanaume mchoyo yule sijapa kuona. Simkubali Dimond katika mambo yake ya umaluuni na kudhalilisha wanawake ila Dai anajua how to treat all his ladies. Mmanyema mwingi yule ila anajali sanaa wanawake sanaa. Enzi za Wema mmanyema anavunja bank kila birthday ya bidada anampa magari ya nguvuuu. Hivi vimchepuko mara Dai kampangishiaa nyumba yule video queen, mara Mobeto kapew trip za south na ulaya. Yaani hakuachi mkavuu. Ukiwa mwanamke wa Dai unapata pata vitu. Afu hajibaniiiiii yule mmanyemaa dunia nzima watajua Dai kakupendaa, atakupeleka mpaka kwa mama yake. Nisingekuwa above 40 ningejipeleka hahaa. Sasa Kiba mchoyooo anamjali mdogo wake na mama mtu na yule dada yao Zabibu. Sijawahi ona mwanaume mchoyo kama yule.
Alikuwa ana mkana Jojo. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukukana mbele za watu. Amemkana Jojo zaidi hata ya mtume Petro alivomkana Yesu. Jojo yupo tu, holding strong. Hajawahi mpa kitu chochote Jojo. Raha ya kupewa upewe hadharani kama enzi Dai anampa Wema, unajiona kweli kijike, Kiba hajampa Jojo chochoteee sio birthday sio nini. Events za Kiba jojo yupo kumsupport kama kwenye tuzo, anaenda peke yake jinaume lilivo na roho ngumu red carpet linapita peke yake, so selfish, linajopst peke yake, Jojo baadae anakuja kupost nae vipicha vyake. Hata hii ya juzi walimchunia she went maskini akakaa pembeni waka muignore ila she went. Events za Jojo Kiba hatii mguuu. Kiba atakuwa mha si kwa roho mbaya ile. Insta Jojo anampromote Kiba watu wa vote, waangalie single, kiba hata kupost vibanio vya bae wake hata siku moja. Mwaka jana alizindua vibanio, no man to support her, Kama single lady Jojo maskinj. Kiba hajatia mguuu wala kupost.
Mpaka jana nasikiza interview maskini Jojo bado anampenda Kiba, i could see it and hear it from her. She deserves better. After everything still anampenda Kibaaa na ana msupport.
Mimi ni team Kiba damu, sio hapa nimemsifia Dai kidogo mdhani nime decamp, walaaaa ila kama advocate wa haki za wanawake Kiba apunguze kuwa Osokoni. Kwenye issue za mapenzi Dai takes the W, and Kiba please hold the big L.
Miaka imestack maana 2006 mi ndo Niko form two so na wonder huo umri wakeIla jokate nimemsikia kitambo nipo primary iv hiyo 28 bado tu
Unampigania sanaaa kaka yako, the question is, wewe ni zabibu au Abdul??Mimi naamini Jojo kapewa zawadi na Mungu huyo King kiba...sasa sijuwi unataka Mungu ampe nini tena jojo
Kiukweli kiba ni mshamba flani ivi.. ukimsililiza kwenye interview zake ndio utamsoma.. anamajivuno yakiduwanzi sanaMwambieni huyo jojo aniPM..
Nashindwa kuelewa binti mrembo kama huyo anashobokea yule mshosha ng'ombe,
yaani kiba hana pause,mshambamshamba hivi ,halafu anavyoongea hakuna hata ile class ya mtu ambae yuko well groomed,ni mtindiga fulani aliebahatisha vihela vya kubadilisha mboga mara moja moja,
hebu @lara1 nipe wasapu ya huyu sosholite Jojo Nina maongezi nae,
Tatizo nyota.Tatizo la wanawake superstars wanataka lazima waolewe na wanaume superstars..hapo ndo wanaharibu..kwanini huyu Jokate asitafute mwanaume kama mimi nitakayempenda na kum support na kumuoa? And she will live happily ever after!
Nilibahitka kuona sehem tu ya video clip ya tukio la Kiba, Mama Kiba na Jok,kiuhalisia inategemea na familia.Kuna watu wengine mambo ya Boy friend na Girl Friend hayana nafasi kuwa disclosed kwenye public, ndiyo reaction niliyoiona. Hata kwetu, sikuwahi kuthubutu kusema huyu mimi ni Rafiki yangu wa kike, kwanza ningemkwaza sana mama baba na wote.Mmh kiba mpaka kwa sporah tena.basi wa chinichini. Maybe ndivyo alivyo hajui mum treat mwanamke.au ni mtu wa private hapendi kuonyesha relationship hadharani. Hao baby mama zake sijawahi kusikia ni kina nani. Jojo she deserve better ila asitafute watu maarufu. Akichukua haohao yatakuwa ndio hayo hayo.ni mzuri ila haijui thamani yake.anajua kujieleza.ila kiba interview zake unajua kabisa hapa kama Bashite hivi.
Umeandika vizuri mpk nimefurahi wallah[emoji1] [emoji6] Kiba hana mapenzi na jojo ni km anajipendekeza tuBwana apewe sifa.
Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma.
Jokate is my role model, na Wema, na Kylyn. Why specifically ni watu wajanja wajanja mjini, kama mimi wanapenda mambo mazuri afu hawataki kifanya kazi. Just like me, they love success, living larger than life, making history ila they are not ready to toil for the sucess. Hawaishi kwa katibaaaa za ma bibi. Kwamba maisha na kuajiriwa NSSF, Kulipwa vilaki hivo na kuzeeka. They break the rules.
Jojo is not a good business lady but is ambitious. Kwa capital aliopewa na wachina, alitakiwa awe next only to Bakhresa, GSM, METL na Manji. Tatizo hakuanza ku hustle chini, ana bahati na maisha akipata wazo anapata fundings.
Mchango wa Jojo kwa kiba ni mkubwa sanaaaa, tena sanaa. Jojo is dream of many men hapa Tz. Watu kibao wanataka kumuoa Jojo leo kesho. Ila Jojo anapenda bad boys kama Dimond, Hasheem, Kiba. Wote watoto wa kitaaa, hustlers. Sasa hawa angetuachia sisi dada zao ndo tunawamudu wa uswazi wenzao.
Jojo kaanza na Kiba hata hana comeback ya kuelewekaaa. Ndo katoka kufungwa na madam Rita zaidi ya miaka sijui 4, haimbi, haingii studio, hafanyi show analelewa tu. Ndo maana madam sahivi team Mond, bado analilia penzi la Kiba.
Wengi tulisema Jojo ame downgrade, come on Kibaaaa! Mtoto wa Kariakooo. Nakumbuka mimi nilichamba ofisi nzima kuwa Jojo anayachezea maishaaa. Sasa Kiba ana nini, mwenye bahati habahatiki. Lakini her love was genuine. She was supportive of him always. Alijitoa akili. Hata kina Gigy mitako wakisema wameliwa ndogo na Kiba, she was still with him.
Kiba doesnt know how to treat his women. No wonder baby mamas wake wanne hakuna anaewajua. Na spora wa 5, sijui ndo anakamiliasha 4 hio. Mwanaume mchoyo yule sijapa kuona. Simkubali Dimond katika mambo yake ya umaluuni na kudhalilisha wanawake ila Dai anajua how to treat all his ladies. Mmanyema mwingi yule ila anajali sanaa wanawake sanaa. Enzi za Wema mmanyema anavunja bank kila birthday ya bidada anampa magari ya nguvuuu. Hivi vimchepuko mara Dai kampangishiaa nyumba yule video queen, mara Mobeto kapew trip za south na ulaya. Yaani hakuachi mkavuu. Ukiwa mwanamke wa Dai unapata pata vitu. Afu hajibaniiiiii yule mmanyemaa dunia nzima watajua Dai kakupendaa, atakupeleka mpaka kwa mama yake. Nisingekuwa above 40 ningejipeleka hahaa. Sasa Kiba mchoyooo anamjali mdogo wake na mama mtu na yule dada yao Zabibu. Sijawahi ona mwanaume mchoyo kama yule.
Alikuwa ana mkana Jojo. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukukana mbele za watu. Amemkana Jojo zaidi hata ya mtume Petro alivomkana Yesu. Jojo yupo tu, holding strong. Hajawahi mpa kitu chochote Jojo. Raha ya kupewa upewe hadharani kama enzi Dai anampa Wema, unajiona kweli kijike, Kiba hajampa Jojo chochoteee sio birthday sio nini. Events za Kiba jojo yupo kumsupport kama kwenye tuzo, anaenda peke yake jinaume lilivo na roho ngumu red carpet linapita peke yake, so selfish, linajopst peke yake, Jojo baadae anakuja kupost nae vipicha vyake. Hata hii ya juzi walimchunia she went maskini akakaa pembeni waka muignore ila she went. Events za Jojo Kiba hatii mguuu. Kiba atakuwa mha si kwa roho mbaya ile. Insta Jojo anampromote Kiba watu wa vote, waangalie single, kiba hata kupost vibanio vya bae wake hata siku moja. Mwaka jana alizindua vibanio, no man to support her, Kama single lady Jojo maskinj. Kiba hajatia mguuu wala kupost.
Mpaka jana nasikiza interview maskini Jojo bado anampenda Kiba, i could see it and hear it from her. She deserves better. After everything still anampenda Kibaaa na ana msupport.
Mimi ni team Kiba damu, sio hapa nimemsifia Dai kidogo mdhani nime decamp, walaaaa ila kama advocate wa haki za wanawake Kiba apunguze kuwa Osokoni. Kwenye issue za mapenzi Dai takes the W, and Kiba please hold the big L.
Wanawake Wa siku hizi hawana ishu hata kdg Lara ,Haaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.
Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu
Bwana apewe sifa.