Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Naona unampenda sababu ni Mwagito mwenzakoKatibu mkuu wa Chadema mh Chongollo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unampenda sababu ni Mwagito mwenzakoKatibu mkuu wa Chadema mh Chongollo
Makene yuko ACT wazalendo
... very sad!Makene alishaunga juhudi muda mrefu.
Kabisa.Hakika inapendeza
Putin mwenyewe wananyukana huko wanakaa vikao,sembuse sieMara zote hata wababe wa vita huishia kwenye mazungumzo. All the best
Chadema wako makini wameshaumwa na nyoka hata wakiguswa na jani lazima wasituke, CCM let’s give them benefit of doubt.Chadema wawe makini na CCM katika mazungumzo hayo. Sidhani kama CCM wana nia njema juu ya mazungumzo hayo.
10. Kuutambua uchaguzi mkuu uliopita kuwa ni halali1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
Tumaini Makene yuko wapi jamani?Makene alishaunga juhudi muda mrefu.
Ajenda sio siri hata maazimio sio siri muda ukifika umma utajulishwa. Hata CUF Zanzibar na CCM zilitumia miezi kufikia mwafaka.Ajenda ni siri
Katika ile timu ya Chadema namwamini Heche peke yake!Ajenda sio siri hata maazimio sio siri muda ukifika umma utajulishwa. Hata CUF Zanzibar na CCM zilitumia miezi kufikia mwafaka.
Wazee wa fitnaPande zote ziongozwe na nia njema. Nia za CCM zitazamwe kwa jicho la 3
Shaka amejaa mashaka, kapigwa na butwaa. Atasema nn?Ahsante
Sisi CCM tunasubiri mwenezi Shaka atupe taarifa inayojitosheleza
Bora cdm ina angalau Heche..ccm haina hata mmoja wa kuaminikaKatika ile timu ya Chadema namwamini Heche peke yake!
Pumbafuu Wewe...CCM chukiWekeni ajenda mezani . hizo chai za Ikulu kila siku hazitusaidii wananchi
Safu ya CCM imesheheni weledi!Bora cdm ina angalau Heche..ccm haina hata mmoja wa kuaminika
Ahsante
Sisi CCM tunasubiri mwenezi Shaka atupe taarifa inayojitosheleza
Yule Shujaa wa Afrika amesahaulika tena.Mama ndiye Rais Bora Africa.Ana Upendo,, mzuri,,ana Hekima..mpole,,hakurupuki...Ongeza Mengine mwenyewe...
Weledi wa uwindaji haramu na rushwa sio?Safu ya CCM imesheheni weledi!