Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

Chadema wawe makini na CCM katika mazungumzo hayo. Sidhani kama CCM wana nia njema juu ya mazungumzo hayo.
Chadema wako makini wameshaumwa na nyoka hata wakiguswa na jani lazima wasituke, CCM let’s give them benefit of doubt.
 
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
10. Kuutambua uchaguzi mkuu uliopita kuwa ni halali
11. Mbowe na Lisu kuteuliwa kuwa wabunge wa kuteuliwa kuziba nafasi ya Balozi Polepole
12. Mchakato wa Chadema kujiunga na CCM na kuwa kitu kimoja kwa maslahi mapana ya nchi
 
Mama ndiye Rais Bora Africa.Ana Upendo,, mzuri,,ana Hekima..mpole,,hakurupuki...Ongeza Mengine mwenyewe...
 
Ahsante

Sisi CCM tunasubiri mwenezi Shaka atupe taarifa inayojitosheleza
A42CD937-5E65-4CCE-B035-7BF190A5B25E.jpeg
 
Back
Top Bottom