Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Amepata mwalimu mzuri sana ila kipindi cha kwenda kupimwa mkojo hakufungua mashitakaView attachment 2793697
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini yake.
Mkude amefungua kesi ya madai 192 ya mwaka 2023 mbele ya Jaji Butamo Philip dhidi ya kampuni hiyo akiidai fidia hiyo Kwa kuvunja haki yake ya msingi.
Angetumia GSM sawa maana mkude haishtaki simbaSafi Sana namshangaa Feisal yanga wanatumia picha yake kwenye tangazo la documentary yao lakini yeye yupo kimya.
Hao ndio vijana wajuajiUmeeleza kweli japo umesha conclude bila kujua ni picha ipi au umeshawahi iona hiyo picha.
Kwani kaishtaki simba au Mohamed?ndiyo maana vijana hawaaminiki, leo amesahau alikuwa mali ya simba na Mohamed enterprises ni wadhamini wa club na wanahaki ya kutumia image ya mchezaji wa simba for promotion purpose...
Safi Sana namshangaa Feisal yanga wanatumia picha yake kwenye tangazo la documentary yao lakini yeye yupo kimya.
Wewe kakudanganya nani kesi kama hizo zinaamuliwa kwa kuangalia thamani ya mtu. Kwanza unaipima vipi thamani ya mtu kisheria?Mkude kadanganywa na nani?
Mkude hana thamani ya hela hiyo kwenye holi hata jaji atamcheka.
AaaaahaaView attachment 2793697
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini yake.
Mkude amefungua kesi ya madai 192 ya mwaka 2023 mbele ya Jaji Butamo Philip dhidi ya kampuni hiyo akiidai fidia hiyo Kwa kuvunja haki yake ya msingi.
Wanasheria wake ni pamoja na yule bibi wa zanzibar fatma KarumeFeisal anaiogopa yanga.
Bila mama samia kumuombea masamaha Yanga Feisal alikuwa hachezi mpira.
Wanasheria wa Feisal vilaza sana.
Kumbe Real Madrid sasa hivi wanaweza mtumia Benzema kwenye matangazo! nlikua sijuiHuyu kijana anatumiwa vibaya,,,,
Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wanamkataba na Simba sc ,,so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa mkude na Simba una mfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever...
Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
NDIYO PICHA YAKE WAITUMIE HATA KAMA HANA THAMANI.Mkude kadanganywa na nani?
Mkude hana thamani ya hela hiyo kwenye holi hata jaji atamcheka.
akiwa katika jezi zao anatumika vizuri kabisa. Ingia kwenye Channel ya MUTD (Man United) utakuta wanafanya biashara na kuingiza hela kwa kuonyesha mechi za enzi za akina Giggs na PorboskyKumbe Real Madrid sasa hivi wanaweza mtumia Benzema kwenye matangazo! nlikua sijui
Mechi sawa nafahamu maana zina copyright nazunguzia image, mfano Man U sasa hivi wanaweza tengeneza tangazo kwa kutumia image ya Lukaku? Nb:mimi sio mjuzi wa hayo mamboakiwa katika jezi zao anatumika vizuri kabisa. Ingia kwenye Channel ya MUTD (Man United) utakuta wanafanya biashara na kuingiza hela kwa kuonyesha mechi za enzi za akina Giggs na Porbosky