Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Mkewe na nani atoe ridhaa? Why?Labda mkewe alitoa ridhaa...??
Anashtaki MO Foundation au MO mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkewe na nani atoe ridhaa? Why?Labda mkewe alitoa ridhaa...??
Anashtaki MO Foundation au MO mwenyewe?
Wamesema Mohammed EntrprisesLabda mkewe alitoa ridhaa...??
Anashtaki MO Foundation au MO mwenyewe?
We unajua ni picha gani?Huyu kijana anatumiwa vibaya,,,,
Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wanamkataba na Simba sc ,,so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa mkude na Simba una mfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever.
Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
Mo Enterpruses soyo wadhamini wa klabu mzeendiyo maana vijana hawaaminiki, leo amesahau alikuwa mali ya simba na Mohamed enterprises ni wadhamini wa club na wanahaki ya kutumia image ya mchezaji wa simba for promotion purpose...
Wamesema Mohammed Entrprises
Punfuza mhemk
Nionyeshe nilipokuhemea?Wamesema Mohammed Entrprises
Punfuza mhemko
Ndugu mjuaji ulisomea nini? Kila kitu wewe unajuaMkude kadanganywa na nani?
Mkude hana thamani ya hela hiyo kwenye holi hata jaji atamcheka.
Sasa mkude ni mchezaji wa Simba? Hivi mnawaza kutumia mataqo?.Ndiyo maana vijana hawaaminiki, leo amesahau alikuwa mali ya simba na Mohamed enterprises ni wadhamini wa club na wana haki ya kutumia image ya mchezaji wa simba for promotion purpose...
Hata mimi niliona dhahiri hii kesi ni ndogo mno na nyepesi otherwise angelikuwa na image rights kwenye mkataba wake na Simba SC awe makini hawa mogul kushindana nao inahitaji umakini otherwise itakula kwake.Huyu kijana anatumiwa vibaya,
Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wana mkataba na Simba sc, so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa Mkude na Simba unamfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever.
Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
Benzema kwenye mkataba wake kuna image rights je Tanzania hapa kuna mchezaji ana image rights kwenye mkataba wake?!Kumbe Real Madrid sasa hivi wanaweza mtumia Benzema kwenye matangazo! nlikua sijui
Unge elewa kwanza maana ya documentary usinge fananisha haya mamboBenzema kwenye mkataba wake kuna image rights je Tanzania hapa kuna mchezaji ana image rights kwenye mkataba wake?!
Leo hii yanga wametengeneza documentary kuna script za Feisal, tatizo la mikataba ya timu zetu mchezaji hana image rights hivyo haki zote zinabakia kuwa mali ya timu paka pale mkataba husika na mdhamini utakapo kwisha.