Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

Huyu kijana anatumiwa vibaya,,,,

Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wanamkataba na Simba sc ,,so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa mkude na Simba una mfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever...
Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
That's all I know
 
Sema watu wengi naona mnachukulia hili jambo kishabiki kama anaona kuna haki yake basi mwacheni aitafute haya mwaswala ya kusema anadanganywa sijui nini ni ujinga tu
 
Wewe kakudanganya nani kesi kama hizo zinaamuliwa kwa kuangalia thamani ya mtu. Kwanza unaipima vipi thamani ya mtu kisheria?
Kama thamani ya mtu haipimwi kisheria unaweza kuniambia kwanini Mkude anaenda mahakamani?

Kipi kilichomfanya mkude aweke demand ya 1B?

Anaenda mahakamani kudai fidia ya 1B, je alidhulumiwa?

1B anayodai ilitokana na mauziano ya bidhaa gani ?

Nini kilichomfanya afikiri 1B ndio kiwango sahihi anachostahili kulipwa?

Kama sio ishu inayo determine thamani ya mtu unaweza kuniambia kwanini haku demand laki 1 au 50,000?
 
Kama thamani ya mtu haipimwi kisheria unaweza kuniambia kwanini Mkude anaenda mahakamani?

Kipi kilichomfanya mkude aweke demand ya 1B...
Kesi ya kina FA na AY walitumia nini kujua thamani ya ule wimbo au hii ya juzi ambayo Bocco ameshinda baada ya picha yake kutumika bila ridhaa yake?
 
MeTL wamekuwa wakitumia picha ya Mkude kibiashara kitambo sasa.

Tena kinyume na taratibu za kikanuni za hadhi ya wachezaji.

Mwana amekaa na Mwanasheria wake wamegundua kuwa picha zile zimemuingizia Mo kiasi kikubwa sana cha pesa sawa na Bilioni 1 za kitanzania.

Kama vile tulivyo msaidia Feo Toto apate haki yake, ninawaasa wadau tuunge mkono jitihada za Mkude. Tutambue kuwa mpira ndio kazi yao.
 
[emoji599] JUST IN: Kiungo wa Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 Bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter bila idhini yake. [[emoji2786] Mwanaspoti]

[emoji15]
20231026_191618.jpg
 
Back
Top Bottom