Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

Huyu kijana anatumiwa vibaya,,,,

Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wanamkataba na Simba sc ,,so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa mkude na Simba una mfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever.

Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
We unajua ni picha gani?
 
ndiyo maana vijana hawaaminiki, leo amesahau alikuwa mali ya simba na Mohamed enterprises ni wadhamini wa club na wanahaki ya kutumia image ya mchezaji wa simba for promotion purpose...
Mo Enterpruses soyo wadhamini wa klabu mzee
 
Ndiyo maana vijana hawaaminiki, leo amesahau alikuwa mali ya simba na Mohamed enterprises ni wadhamini wa club na wana haki ya kutumia image ya mchezaji wa simba for promotion purpose...
Sasa mkude ni mchezaji wa Simba? Hivi mnawaza kutumia mataqo?.
 
Huyu kijana anatumiwa vibaya,

Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wana mkataba na Simba sc, so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa Mkude na Simba unamfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever.

Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
Hata mimi niliona dhahiri hii kesi ni ndogo mno na nyepesi otherwise angelikuwa na image rights kwenye mkataba wake na Simba SC awe makini hawa mogul kushindana nao inahitaji umakini otherwise itakula kwake.
 
Kumbe Real Madrid sasa hivi wanaweza mtumia Benzema kwenye matangazo! nlikua sijui
Benzema kwenye mkataba wake kuna image rights je Tanzania hapa kuna mchezaji ana image rights kwenye mkataba wake?!
Leo hii yanga wametengeneza documentary kuna script za Feisal, tatizo la mikataba ya timu zetu mchezaji hana image rights hivyo haki zote zinabakia kuwa mali ya timu paka pale mkataba husika na mdhamini utakapo kwisha.
 
Unge elewa kwanza maana ya documentary usinge fananisha haya mambo
 
Back
Top Bottom