njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #61
mmefeli mkuu fitna zenu mkidhani mnawachanganya watu hapa mmefeli sana,tuko pamoja sana kipindi hikiSi ndio hapo sasa
Simba imeingilia faragha za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmefeli mkuu fitna zenu mkidhani mnawachanganya watu hapa mmefeli sana,tuko pamoja sana kipindi hikiSi ndio hapo sasa
Simba imeingilia faragha za watu
Mzamiru sijawahi kumuelewaukikuta comments za watu zinasema watu wanakula bata beach kidimbwi la kufa mtu pesa zipo ina maana kila mtu ana pesa?mimi nimeelezea udhaifu wake hajui kukaba huwa anakaba kwa kunyanyua mguu na kukita,yuko slow,hajui kufanya sliding tackles,hajui kupiga penetration passes
anayemsifia aniambie ubora wake uwanjani ni upi ila nikuambie tu jambo moja ANA DAMU YA KUPENDWA SANA mtu kama muzamiru yassin hata afanyaje uwanjani mazuri kiasi gani akikosea hata kutoa pass moja atatukanwa week nzima,ana damu ya nyoka
ndo maana nakuambia hana damu ya kupendwa pass zake mbovu ila anakaba sana halfu confidence yake imeshuka haya maneno tunayosema wanayapata nao wapo mitandaoni piaMzamiru sijawahi kumuelewa
Ujue mkuu kiungo mkabaji sio sliding tackle wala kukaba sana mkude ni Top class player.ndo maana nakuambia hana damu ya kupendwa pass zake mbovu ila anakaba sana halfu confidence yake imeshuka haya maneno tunayosema wanayapata nao wapo mitandaoni pia
kila mtu. na maoni yake ila jua kwamba wawa na onyango wanapta shida sana kwa kushindwa kulindwa na namba sita wao,elewa mwanyeto na lamine wanalindwa vizuri na feisal na mukoko kuliko kiungo cha simbaUjue mkuu kiungo mkabaji sio sliding tackle wala kukaba sana mkude ni Top class player.
Anajua kucheza na zone yake
Wawa na nyoni hakuna wachezaji hapo mkuu beki ili uwebora lazima ukabe Ramos anakaba anaonekana japo kuna casemirokila mtu. na maoni yake ila jua kwamba wawa na onyango wanapta shida sana kwa kushindwa kulindwa na namba sita wao,elewa mwanyeto na lamine wanalindwa vizuri na feisal na mukoko kuliko kiungo cha simba
Mimi mwenyewe simbammefeli mkuu fitna zenu mkidhani mnawachanganya watu hapa mmefeli sana,tuko pamoja sana kipindi hiki
sasa utopolo mbona mnahangaika sana kujiita simba,tarehe 7 wote mtakuwa mmekimbia hapa wakati huo tuko 16 bora,kumtongoza barbra kumfanya nini watatijua wao,simba ilikuwepo kabla ya hao watu na itakuwepo sanaMimi mwenyewe simba
Ila Kama wewe ni mwanaume rijali lazima utamani kuwa na mrembo Barbara, Sasa sioni shida ya Mkude kisa kamtongoza CEO
Ha ha ha ha... Mwanike waneCEO kachanganyikiwa na mtarimbo wa Mkude. Mo na ki ba....mia chake kakasirika sana kuchapiwa CEO.Mkude tangaza ndoa kabisa kwa CEO.
Kuna jamaa kacoment hivyo kwa edokumwembeNasikia kamtongoza CEO
Ka moo kanamla ndogo barbra kanona wivu Mkude akipewaManguruwe bhana. Issue ndogo za beer [emoji481] kadhaa na kisha kumpandia hewani CEO imekuwa kitu kikuuubwa. Watu wasinywe tu beer tuwili tutatu? Barbra asisomeshwe?
Mkude hoyeeeeeeeeeCEO kachanganyikiwa na mtarimbo wa Mkude. Mo na ki ba....mia chake kakasirika sana kuchapiwa CEO.Mkude tangaza ndoa kabisa kwa CEO.
Akili za nguruwe ni shidaNyani tulieni hii haiwahusu nyie ngojeni kutoana chawa tu ndilo mnalowezaView attachment 1661946
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kampiga machine kabsa.Boss kamaindi kushare mzigo na huyu msela.Nasikia kamtongoza CEO
Bhebhe lekaga gete uhindi ochanganyikiwaga.Ha ha ha ha... Mwanike wane