Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

ukikuta comments za watu zinasema watu wanakula bata beach kidimbwi la kufa mtu pesa zipo ina maana kila mtu ana pesa?mimi nimeelezea udhaifu wake hajui kukaba huwa anakaba kwa kunyanyua mguu na kukita,yuko slow,hajui kufanya sliding tackles,hajui kupiga penetration passes
anayemsifia aniambie ubora wake uwanjani ni upi ila nikuambie tu jambo moja ANA DAMU YA KUPENDWA SANA mtu kama muzamiru yassin hata afanyaje uwanjani mazuri kiasi gani akikosea hata kutoa pass moja atatukanwa week nzima,ana damu ya nyoka
Mzamiru sijawahi kumuelewa
 
ndo maana nakuambia hana damu ya kupendwa pass zake mbovu ila anakaba sana halfu confidence yake imeshuka haya maneno tunayosema wanayapata nao wapo mitandaoni pia
Ujue mkuu kiungo mkabaji sio sliding tackle wala kukaba sana mkude ni Top class player.

Anajua kucheza na zone yake
 
Ujue mkuu kiungo mkabaji sio sliding tackle wala kukaba sana mkude ni Top class player.

Anajua kucheza na zone yake
kila mtu. na maoni yake ila jua kwamba wawa na onyango wanapta shida sana kwa kushindwa kulindwa na namba sita wao,elewa mwanyeto na lamine wanalindwa vizuri na feisal na mukoko kuliko kiungo cha simba
 
kila mtu. na maoni yake ila jua kwamba wawa na onyango wanapta shida sana kwa kushindwa kulindwa na namba sita wao,elewa mwanyeto na lamine wanalindwa vizuri na feisal na mukoko kuliko kiungo cha simba
Wawa na nyoni hakuna wachezaji hapo mkuu beki ili uwebora lazima ukabe Ramos anakaba anaonekana japo kuna casemiro
 
Kumtonhoza CEO ni shida? Mbona wote ni watu wazima jemeni?
 
mmefeli mkuu fitna zenu mkidhani mnawachanganya watu hapa mmefeli sana,tuko pamoja sana kipindi hiki
Mimi mwenyewe simba
Ila Kama wewe ni mwanaume rijali lazima utamani kuwa na mrembo Barbara, Sasa sioni shida ya Mkude kisa kamtongoza CEO
 
Mimi mwenyewe simba
Ila Kama wewe ni mwanaume rijali lazima utamani kuwa na mrembo Barbara, Sasa sioni shida ya Mkude kisa kamtongoza CEO
sasa utopolo mbona mnahangaika sana kujiita simba,tarehe 7 wote mtakuwa mmekimbia hapa wakati huo tuko 16 bora,kumtongoza barbra kumfanya nini watatijua wao,simba ilikuwepo kabla ya hao watu na itakuwepo sana
Mimi hata kama atakuwa amesimamishwa kwa kujamba kambini Iam glad for that apate muda mzuri wa ku chill na masela kawe ale konyagi zake na bangi kwa starehe zaidi
 
Sidhani kama viongozi wa Simba wana chuki binafsi na Mkude mpaka wafikie hatua ya kumsimamimsha kwa muda bila sababu ya msingi. Kwanza Mkude amedekezwa sana na viongozi wenyewe kwa kuogopa kuwa ataenda Yanga. Na ni muda mrefu sana huyu jamaa ana rekodi mbovu sana za utovu wa nidhamu zilizopitiliza. Sasa ni wakati muafaka kwa Mkude kwenda Yanga akagombanie namba na mafundi Mukoko na Fei Toto. Wakati mwingine ni muhimu sana kuchukua maamuzi magumu ambayo yana hasara ya muda mfupi lakini ya faida ya muda mrefu. Leo hii sidhani kama Yanga ingekuwa inaongoza ligi iwapo ingeendelea kukumbatia wachezaji wake "wawili waandamizi" wakati waligundua wanatoboa mtumbwi wao wakiwa safarini. Nidhamu ndio inaleta mafanikio ya kila kitu. Kama Mkude kaonewa atoke hadharani aseme kaonewa.
 
Back
Top Bottom