Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

Huyu mwanasheria anakuja na hoja nyepesi sana hadi aibu. Hoja yake ni kwamba: Hawa DP World wanaendesha bandari nyingi sana duniani na hawajawahi kuwa na mgogoro. Kwa nini wasababishe mgogoro hapa kwetu?

Hivi anaweza kutuambia mikataba ya DP World huko kwingine inalingana kabisa na mkataba huu walioingia hapa TZ?. Kwanza si kwamba wanakubaliwa kila mahali, huko Marekani mkataba wao ulipofikishwa kwenye bunge la senate ulikataliwa!! Lakini pia hoja kwamba kwa kuwa mwizi ameiba sehemu nyingi na hajalalamiukiwa siyo hoja ya kumruhusu huyo mwizi aibe na nchini kwetu!! Haiwezekani kumkabidhi mgeni mlango na kufuli la kuingilia ndani!! Bandari ni mlango wa kuingilia nchini!!
 
Nilivyoona tu hayo majina nikajua ni wa dini yetu dhidi ya wagalatia
Ngoja tuone nani ataibuka mshindi
 
Ni wanasheria wa masheikh?

Inawezekana Masheikh wametambua mapungufu pale kama watu wa elimu dini waliopojitupa kichwa kichwa ulingoni kupambana na wapinga mkataba katika suala la bandari.

Hivyo pengine baada ya kujiuliza sana wamejisahihisha kiungwana, wameona bora kazi ikabidhiwe wataalamu wa fani mawakili wasomi kwa kuwa mambo haya ni ya ki-secular zaidi yaani hayana dini.
 
Naona majina yote ya mawakili Yana reflect dini ya nani kama mama
 
Eritrea kuna mgogoro, UK migogoro kibao kuhusu haki za wafanyakazi. Hadi serikali yao ikaingilia kati.

Wamefanya utafiti?
 
kifupi, wanaenda mahakamani kuutetea mkataba mbovu wa DP World!? ... SHM
 
Teh teh mbona majina haya ni ya dini yangu tu!

Yaani hawa wajinga wataingiza nchi kwenye janga la udini soon tu kwasababu ya ujinga ujinga tu

Kwani kuna mtu alimtuma huyo mama asaini limkataba la hovyo na la milele÷ wacha apelekewe moto na wazalendo safari hii tunamrudisha unguja akacheze na mali za wazanzibar wenzie au wajomba zake huko oman ila sio watanganyika
 
come in public by showing your true color,don't around the bush!
 
Kobazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…