Tetesi: Jopo la wanasheria kuwashtaki CCM Mahakamani kwa kufanya vikao vya chama Ikulu.

sijui kama nao hawatofungiwa kuongea miezi mitatu.
 
Siasa ilizuiliwa ktk ofisi za serikali, na sehemu nyinginezo za wafanyakaxi xinazotambuliwa kisheria tangu 1992.JE VP RC WA KILI AU KTB MKUU MAJI NAO WAITISHE VIKAO VYAMA VYAO OFISINI KWAO? TUTII SHERIA BILS SHURUTI
 
Wanafungulia kesi Marekani au.Tunasubiri hukumu kama ni TZ.
 
Kama ni kweli , basi kwa sasa tumshukuru MUNGU, HATUNA WANASHERIA bali tuna genge LA WAHUNI !!
 
Me nimesikia kwamba mwnyekiti wa sisiyemu aliomba ukumbi wa mikutano kwa rais, basi akapewa.
Hii nchi inawezekana ni mali binafsi ya ccm ikulu siku hizi sio patakatifu tena
 
Mikutano yake na wanachama wake ni huko chimwaga.

IKULU NI PATAKATIFU.

Chama cha siasa hakina na hakitakuwa na mustakabali wa taifa.

Mfalme Huhihuhi amenajisi nyumba inayoheshimiwa sana na wenye nchi.
 
Sio halali kwa ccm kufanyia vikao vyake ikulu, ndo maana inatakiwa m/kiti wa chama cha siasa asiwe rais ili kuondoa utata kama huu.

Ndo maana tunaona Magufuli anavikataza vyama vingine visifanye mikutano ya hadhara wakati yeye anafanya kwa kisingizio cha urais.!
 
wanatafuta kiki hao!! tangia TLS ilipomchagua mwasiasa LISSU Kuwangoza utafikiri wanashweria hawana la kufanya isipokuwa kupambana na Magufuli!! shame on you guys!!! mtpambana lakini hamtashinda !!! NYERERE ,MKAPA na JK WALIFANYIA VIKAO ikulu mbona hamkuanza ujinga wanamna hiyo!!natamani kuwatusi vibaya mno nyie wafrika heusi utafikiri mna roho nyeusi kama ngozi yenu
 
Reactions: UCD
hawa wamekosa kazi?
 
Bilashaka hai wanasheria watakuwa Zero. Cc twenye akili twajuwa nn kinaendelea. MAGU PIGA KAZ
 
Hao watakamatwa muda mchache kabla ya kufika viunga vya mahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…