Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
hilo nawezekana pia johUdugu wa namna hiyo wala Israel haiuthamni.Wanataka wawabamize wawe tabaka la chini yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo nawezekana pia johUdugu wa namna hiyo wala Israel haiuthamni.Wanataka wawabamize wawe tabaka la chini yao.
Umeshikana na historia isiyokuwa na mashiko.Nani kakwambia kuwa Israel haiwezi kushindwa.Mbona vita na Hamas imechukua karibia miezi 2 na hawajafikia lengo lao lolote.Hamas wapo na mateka wamewashikiliwa na Hamas.Wewe utakuwa wa juzi au kama ni wa zamani umeamua kupuuzia historia ya vita baina ya Taifa la Israel na Waarabu. Wamisri wenyewe waligundua kuwa hawawezi kamwe kuja kuishinda Israel kwenye uwanja wa vita, wakaamua kuwekeana mkataba wa amani.
Kwa hiyo wewe unaamini kuwa Jordan inaenda kupigana na Israeli?Hamas tu wameshindwa wataweza Jordan yenye vifaru na ndege za kivita.
Tusubiri na Misri wapate akili kama hiyo.
Mwezi wa pili sasa Israeli anatolewa kamasi na kikundi cha wanamgambo wa Hamas.Hicho ni kukipiga na kuwa colony la Israel indefinitely
Hamas wanaoishi kwenye mashimo kama panyaMwezi wa pili sasa Israeli anatolewa kamasi na kikundi cha wanamgambo wa Hamas.
NETANYAHU AKBARBaada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao.
Hayo yamebainishwa na waziri mkuu wa Jordan,Bisher Khasawneh akielezea mwenendo usio kuwa mzuri wa Israel kwa wapalestina wanaoishi ukingo wa mashariki kuvuka mto Jordan
Katika maelezo hayo ya utayari wa kivita waziri mkuu huyo amesema kumekuwa na shinikizo kwa baadhi ya wabunge wa Israel wakisema suluhisho la wapalestina walio maeneo hayo ni kuingia Jordan.
Kivitendo walowezi wa kiyahudi wamekuwa wakiongeza mashambulizi kwa wapalestina kwa kuwatoa kwenye majumba yoo na mashamba kwa nguvu ili waondoke na kuingia Jordan.
Waziri mkuu huyo amesema vitendo hivyo ni aina ya ukiukwaji wa mkataba baina yao wa mwaka 1994.
Akaongeza kwa kusema aina yoyote ya kuwahamisha kwa nguvu na matendo yanayopelekea hilo ni ukiukwaji wa mkataba huo.
Hali hiyo itapelekea na wao kuuona mkataba huo kama ni kipande cha karatasi kilichojaa mavumbi basi.
Vitendo hivyo vya Israel mbali ya kukiukwa kwa mkataba amesema vile vile vinahatarisha usalama wa Jordan jambo ambalo hawataweza kulivumilia.
Watu upande wa Jordan wametoa ushahidi wa kuoona idadi kubwa ya magari ya kivita na vifaru vikielekea kwenye bonde la Jordan mpakani na Israel.
Jordan says it beefs up army presence along borders with Israel
Vita ni mbinu.SI busara kumpa adui yako kifua akupige.Huo ni ubabe wa kijinga.Hamas wanaoishi kwenye mashimo kama panya
Wajordan na Waisraeli ni ndugu wa damu. Wote ni watoto wa Isaka. Jordan ni uzao wa ESAU wakati Israel wengi ni uzao wa Yakobo.haiwezekani.
Jordan ni muungwana sana anaweza kuweka majeshi yake kwenye mipaka yake na Israel Lakini hawezi thubutu kuichokoza wala kuingia vitani na Israel.
Kumbuka dinari ya Jordan na shekeli ya Israel ndizo hutumika kununua bidhaa, huduma na biashara huko Israel, West Bank na Jordan yenyewe.
Ni ndugu hawa wamejazana pande zote mbili, hadi kiwango cha kushindwa kuwatofautisha huyu ni nani wa upande gani, ispokua kwa stakabadhi tu..
cleansing si rahisi katka jiografia ya Gaza, short of that ukikurupuka utaua wengi, lazima kwenda taratibu! Kwani anshindwa kuleta ndege 1,000 akafukia kila kitu within 30 minutes?Mwezi wa pili sasa Israeli anatolewa kamasi na kikundi cha wanamgambo wa Hamas.
Dini ipi boss?
Ndo inasababisha Israel igombane na majirani?“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Hizo ndo yule Bwana aliziita the Satanic verses!“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Ndo inasababisha Israel igombane na majirani?
Mbona amejaa hofu na kutetemeka hivyo?
Kwanini Israel anagombana na majirani?