Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale yale ya kupachikana uraia wa Urusi na USA. Hauwezi kujibu swali bila kupachika identity?Ndio inasababisha mlazimishe ugomvi na kila dini mnaishia kupigwa.
Lazima ajilinde! Akikaa vibaya waarabu watammalizaaangalie sana.Kiburi kitamuua.Kiburi si sifa nzuri ya binadamu.
ukikaa kwenye nyumba ya kioo usirushie mawe watu.
So ulitaka wayahudi waishi kiboya wakati wamezungukwa na maadui pande zote.?!!kujilinda kwa kudhulumu si kujilinda,ni kujihatarishia amani
Udugu wa namna hiyo wala Israel haiuthamni.Wanataka wawabamize wawe tabaka la chini yao.
Hamas tu wameshindwa wataweza Jordan yenye vifaru na ndege za kivita. Tusubiri na Misri wapate akili kama hiyo.
baadae msilie?Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao.
Hayo yamebainishwa na waziri mkuu wa Jordan,Bisher Khasawneh akielezea mwenendo usio kuwa mzuri wa Israel kwa wapalestina wanaoishi ukingo wa mashariki kuvuka mto Jordan
Katika maelezo hayo ya utayari wa kivita waziri mkuu huyo amesema kumekuwa na shinikizo kwa baadhi ya wabunge wa Israel wakisema suluhisho la wapalestina walio maeneo hayo ni kuingia Jordan.
Kivitendo walowezi wa kiyahudi wamekuwa wakiongeza mashambulizi kwa wapalestina kwa kuwatoa kwenye majumba yoo na mashamba kwa nguvu ili waondoke na kuingia Jordan.
Waziri mkuu huyo amesema vitendo hivyo ni aina ya ukiukwaji wa mkataba baina yao wa mwaka 1994.
Akaongeza kwa kusema aina yoyote ya kuwahamisha kwa nguvu na matendo yanayopelekea hilo ni ukiukwaji wa mkataba huo.
Hali hiyo itapelekea na wao kuuona mkataba huo kama ni kipande cha karatasi kilichojaa mavumbi basi.
Vitendo hivyo vya Israel mbali ya kukiukwa kwa mkataba amesema vile vile vinahatarisha usalama wa Jordan jambo ambalo hawataweza kulivumilia.
Watu upande wa Jordan wametoa ushahidi wa kuoona idadi kubwa ya magari ya kivita na vifaru vikielekea kwenye bonde la Jordan mpakani na Israel.
Jordan says it beefs up army presence along borders with Israel
ila ww kijana utakuw hazijatimiaHamas tu wameshindwa wataweza Jordan yenye vifaru na ndege za kivita. Tusubiri na Misri wapate akili kama hiyo.
majiran wanagombana na israel?Kwanini Israel anagombana na majirani?
[emoji23][emoji23][emoji23] uyo jamaa ni mpuuz , yeye anawapa ushind hamas waliojificha mapangonBro ndani ya wiki chache Gaza imefanywa shamba, watu wanateseka ila wewe umevimbiwa ubwabwa hapo Buza unajipiga kifua.
wavaa madilaaDini ipi boss?
wewe waache waende maana wamedanyanyika kuwa MSHAHALA WA DHAMBI NI SODA YA MILINDA1Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao.