Jordan imeshapeleka jeshi lake mpakani tayari kwa vita na Israel

Ndio inasababisha mlazimishe ugomvi na kila dini mnaishia kupigwa.
Yale yale ya kupachikana uraia wa Urusi na USA. Hauwezi kujibu swali bila kupachika identity?
 
Askari walioongezwa na waliokuwepo ni marehemu watarajiwa. Ngoja waanzishe vita.
 
Udugu wa namna hiyo wala Israel haiuthamni.Wanataka wawabamize wawe tabaka la chini yao.
1700755651953.png
 
Alwaz Hizi taarifa zako sijui huwa unaziokoteza wapi, ninachokijua ndege vita za Jordan zilifanikisha kufanya airdrop ya msaada wa dharula wa madawa huko Gaza kwenye field hospital zilizoanzishwa kwa pendekezo la Jordan na swala hilo lilikuwa coordinated na jeshi la israel lenyewe.
 
Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao.

Hayo yamebainishwa na waziri mkuu wa Jordan,Bisher Khasawneh akielezea mwenendo usio kuwa mzuri wa Israel kwa wapalestina wanaoishi ukingo wa mashariki kuvuka mto Jordan

Katika maelezo hayo ya utayari wa kivita waziri mkuu huyo amesema kumekuwa na shinikizo kwa baadhi ya wabunge wa Israel wakisema suluhisho la wapalestina walio maeneo hayo ni kuingia Jordan.

Kivitendo walowezi wa kiyahudi wamekuwa wakiongeza mashambulizi kwa wapalestina kwa kuwatoa kwenye majumba yoo na mashamba kwa nguvu ili waondoke na kuingia Jordan.

Waziri mkuu huyo amesema vitendo hivyo ni aina ya ukiukwaji wa mkataba baina yao wa mwaka 1994.

Akaongeza kwa kusema aina yoyote ya kuwahamisha kwa nguvu na matendo yanayopelekea hilo ni ukiukwaji wa mkataba huo.

Hali hiyo itapelekea na wao kuuona mkataba huo kama ni kipande cha karatasi kilichojaa mavumbi basi.

Vitendo hivyo vya Israel mbali ya kukiukwa kwa mkataba amesema vile vile vinahatarisha usalama wa Jordan jambo ambalo hawataweza kulivumilia.

Watu upande wa Jordan wametoa ushahidi wa kuoona idadi kubwa ya magari ya kivita na vifaru vikielekea kwenye bonde la Jordan mpakani na Israel.

Jordan says it beefs up army presence along borders with Israel

baadae msilie?
 
Bro ndani ya wiki chache Gaza imefanywa shamba, watu wanateseka ila wewe umevimbiwa ubwabwa hapo Buza unajipiga kifua.
[emoji23][emoji23][emoji23] uyo jamaa ni mpuuz , yeye anawapa ushind hamas waliojificha mapangon
 
Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao.

Hayo yamebainishwa na waziri mkuu wa Jordan,Bisher Khasawneh akielezea mwenendo usio kuwa mzuri wa Israel kwa wapalestina wanaoishi ukingo wa mashariki kuvuka mto Jordan

Katika maelezo hayo ya utayari wa kivita waziri mkuu huyo amesema kumekuwa na shinikizo kwa baadhi ya wabunge wa Israel wakisema suluhisho la wapalestina walio maeneo hayo ni kuingia Jordan.

Kivitendo walowezi wa kiyahudi wamekuwa wakiongeza mashambulizi kwa wapalestina kwa kuwatoa kwenye majumba yoo na mashamba kwa nguvu ili waondoke na kuingia Jordan.

Waziri mkuu huyo amesema vitendo hivyo ni aina ya ukiukwaji wa mkataba baina yao wa mwaka 1994.

Akaongeza kwa kusema aina yoyote ya kuwahamisha kwa nguvu na matendo yanayopelekea hilo ni ukiukwaji wa mkataba huo.

Hali hiyo itapelekea na wao kuuona mkataba huo kama ni kipande cha karatasi kilichojaa mavumbi basi.

Vitendo hivyo vya Israel mbali ya kukiukwa kwa mkataba amesema vile vile vinahatarisha usalama wa Jordan jambo ambalo hawataweza kulivumilia.

Watu upande wa Jordan wametoa ushahidi wa kuoona idadi kubwa ya magari ya kivita na vifaru vikielekea kwenye bonde la Jordan mpakani na Israel.

Jordan says it beefs up army presence along borders with Israel

wewe waache waende maana wamedanyanyika kuwa MSHAHALA WA DHAMBI NI SODA YA MILINDA1
 
Jordan hawezi kufanya hiki kitu kabisa!
Anajua mkataba wake na Israel baada kupigwa sana!
 
Back
Top Bottom