Jordan imeshapeleka jeshi lake mpakani tayari kwa vita na Israel

Wewe utakuwa wa juzi au kama ni wa zamani umeamua kupuuzia historia ya vita baina ya Taifa la Israel na Waarabu. Wamisri wenyewe waligundua kuwa hawawezi kamwe kuja kuishinda Israel kwenye uwanja wa vita, wakaamua kuwekeana mkataba wa amani.
Umeshikana na historia isiyokuwa na mashiko.Nani kakwambia kuwa Israel haiwezi kushindwa.Mbona vita na Hamas imechukua karibia miezi 2 na hawajafikia lengo lao lolote.Hamas wapo na mateka wamewashikiliwa na Hamas.
 
Amani Kwenye Meza Ya Duara
Masuala Ya Kujivunia Vita Siyo Afya Kwa Dunia Hii
 
Taarifa yako ipo outdated sana, inakaribia wiki sasa tangu wanamgambo wa Jordan wasogee mpakani
Habari inahusu Jumanne tarehe 21 Novemba 2023.Kwanini unasema ni tukio la zamani.
 
NETANYAHU AKBAR
 
Hamas wanaoishi kwenye mashimo kama panya
Vita ni mbinu.SI busara kumpa adui yako kifua akupige.Huo ni ubabe wa kijinga.
Wakijificha mapangni,wakiyeyuka wakajichanganya na raia zote ni mbinu za kivita hizo kuvuta nguvu za kuendelea na mapambano.
 
Wajordan na Waisraeli ni ndugu wa damu. Wote ni watoto wa Isaka. Jordan ni uzao wa ESAU wakati Israel wengi ni uzao wa Yakobo.
 
hii vita haitafika huko, hamas atamalizwa na israel itaikalia tena kijeshi gaza, hio mikwara mingine ni danganya toto.
jordan zaidi sana kachukua hatua za kawada tu za kiusalama, kama jirani kuna machafuko basi unaongeza ulinzi kulinda mipaka yako, ni hatua ya kawaida. ila jordan hana hitilafu yoyote ya kupigana na israel.
 
Mwezi wa pili sasa Israeli anatolewa kamasi na kikundi cha wanamgambo wa Hamas.
cleansing si rahisi katka jiografia ya Gaza, short of that ukikurupuka utaua wengi, lazima kwenda taratibu! Kwani anshindwa kuleta ndege 1,000 akafukia kila kitu within 30 minutes?
 
Dini ipi boss?

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Ndo inasababisha Israel igombane na majirani?
 
Hizo ndo yule Bwana aliziita the Satanic verses!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…