std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,293
- 3,928
Hizo aya za hicho kitabu ulichoweka hapo kinaunga mkono kuwauwa wayahudiNchi nyingi wanaandamana kuwasapoti wapalestina, ila ninyi wapagani wa huku bongo mpo upande wa madhaalimu, na mnavyo wachukia waarabu na kuupiga vita uislamu ndio kabisaa mnafurahia vifo haijalishi watoto, wazee, wajane yani ninyi 👇
إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
2:6 Al-Baqarah
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
2:7 Al-Baqarah
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.
Sasa kabla hamjawamaliza acha wawashughulikie magaidi.