Jordan yamwita balozi wake wa Tel Aviv na Saudia, walaani vikali mashambulizi ya Jabaliya

Hizo aya za hicho kitabu ulichoweka hapo kinaunga mkono kuwauwa wayahudi
Sasa kabla hamjawamaliza acha wawashughulikie magaidi.
 
Issue sio kupambama na magaidi, issue hapa ni kuua raia wasio na hatia. Ndio maama kwenye vita wakiuawa askafu 20,000 hutasikia human rights maana hao ndio jukumu lao. Lakini kupiga hospitali, shule, makazi na sehemu waliopo raia ni kosa kimataifa maana hao hawahusiki na vita au operation yenyewe
 
Wanachojali ni watanzania 2 waliotekwa ambao haijajulikana walitekwa maeneo gani na kama walikwenda walikotakiwa waende.
 
Wanachojali ni watanzania 2 waliotekwa ambao haijajulikana walitekwa maeneo gani na kama walikwenda walikotakiwa waende.
Halafu wanatoa tishio kwa hamas 😀 wana chuki balaa dhidi ya waarabu/waislamu na Uisilamu kwa ujumla.
 
The hospitals, schools and civilian dwellings usually become the legitimate targets of attack especially when they're used as military command and control structure so for this matter there is nothing the Israelis can do.
 
Where are the proof that Hamas used human shield? Hakuna mahali tumeona proof kwamba hamas wametumia maeneo hayo au hata walikuwepo maeneo hayo
 
Where are the proof that Hamas used human shield? Hakuna mahali tumeona proof kwamba hamas wametumia maeneo hayo au hata walikuwepo maeneo hayo
Wewe unataka uthibitisho gani wakati wanavaa kiraia na kujichanganya na raia.
 
Wewe unataka uthibitisho gani wakati wanavaa kiraia na kujichanganya na raia.
Sheria za kimataifa zinakuta u prove beyond reasonable doubt ikishindwa you know what follows. Anyways tusubiri hadi mwisho ndio tutajua nani mkweli.

Pia kumbuka ametumia boom la phosphorus against civilians which is also contract to international rules of war
 
Nafanya juu chini na kuilazimisha akili yangu iamini vitu viwili lkn imeshindikana kwanza niamini uislamu ni dini[emoji848][emoji848]pili niamini waarabu wana akili/ ufahamu wa kawaida tu ktk maisha nashindwa
[emoji23][emoji23] we jamaa
 
Kiita dini tunaipendelea sana...ni kikundi cha kishetani.

Waislam wastaarabu wapo but walio wengi ni mskatili sana
Halafu utawasikia uislam ni unyenyekevu,unawaangalia na kugundua shetani nae ana njia zake!
 
Israel ndiye mwanzilishi wa chokochoko pale mashariki ya kati kwa kuvamia ardhi ya wapalestina na kujenga makazi ya walowezi wa kiyahudi.

Inaonekana hii dini ya kiyahudi inapenda damu sana maana ni wapenda migogoro ndiyo maana Hitler aliwanyonga Wayahudi milioni 6 bila huruma.
 
Ungeandika tu kiswahili au hata kizigua, kiluguru au kiha ingefaa sana.
 
Where are the proof that Hamas used human shield? Hakuna mahali tumeona proof kwamba hamas wametumia maeneo hayo au hata walikuwepo maeneo hayo
Hamas has been coercing people not to move to the south of Gaza as demanded by the Israeli military because they knew they would miss them as human shields.
 
Wangekuwa na akili wangewalaani magaidi wa Hamas wanaojificha na kuweka silaha ktk maeneo ya kiraia makazi ya watu, hospitali, shule, misikiti nk Israeli wapige kokote walipo Hamas na wanakowarushia maroketi. Hiyo ndiyo COLLATERAL DAMAGE ktk vita, VITA HAINA MACHO! Hamas walipochinja kubaka na kuteka wanawake na watoto hawakufuata sheria za kivita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…