Jordan yamwita balozi wake wa Tel Aviv na Saudia, walaani vikali mashambulizi ya Jabaliya

Ila unaipambania dini ya haki sana Mkuu.Hongera sana.Ungetumia japo robo ya nguvu hizi kihubiri upendo,haki,mshikamano ungepata thawabu sana sana sana.
 
Nusra ya Allah ipo karibu, acha wajipongeze mayahudi weusi kutoka Tanzania, ipo siku hawataamini kitakachowatokea mayahudi
Allah hakuwanusuru Mayahudi dhidi ya wapalestina and that same Allah will let the Jews do the same to Palestinians.Akifanya hivyo kuwabagua Mayahudi hatakuwa na sifa za kuwa Mungu.Anayeua kwa upanga afe kwa upanga tuu hakuna namna nyingine.Allah atakuwa mjinga sana akisupport magaidi
 
Ukristo ni upagani, biblia yenyewe inawasuta
Achana na propaganda stick kwenye mjadala.Atakayeamua kuwa ukristu ni dini au Upagani ni Mungu mwenyewe kama yupo.Dini yako kama inakujaza chuki namna hii haikusaidii
 
Where are the proof that Hamas used human shield? Hakuna mahali tumeona proof kwamba hamas wametumia maeneo hayo au hata walikuwepo maeneo hayo
Kwa mfano ungekuwa wewe ni IDF ungemtambuaje kuwa huyu ni Hamas au raia?
Hawa Hamas hawana sare Wala kambi. Wanajichanganya na raia wakati wa kufanya mashambulizi. Israel wamemtumia ustaarabi sana kuwaambia raia wa Gaza wahamie Kusini vinginevyo wangekufa wengi sana
 
Halafu wanatoa tishio kwa hamas [emoji3] wana chuki balaa dhidi ya waarabu/waislamu na Uisilamu kwa ujumla.
Swali la kizushi,Kama waisrael wote wangekuwa waislam ungeandika haya?Ni lini umekemea mauaji ya waislamu kwa waislamu wenzao?Kungekuwa na maandano kutoka nchi za kiarabu kama.waisrael wangekuwa waislam?
 

Hatuchukii waarabu ila tunachukia ugaidi
 

Magaidi yanajificha kwenye miundombinu ya raia unategemea Idf wafanye nini zaidi ya kukandamiza hapo hapo
 
Huyo Abda;lah mama'ke ni myahudi mmarekani, mkewe ni myahudi mmarekani.

Ni mnafik tu huyo likija suala ya wayahudi. Juzi kapiga marufuku anga yake isitumiwe na wanaowaunga mkono Wapalestina.

Wafalme kama huyo ni wa vibaraka wa kuondolewa kwa maandamano tu.
 
Maneno matupu bila vitendo ni kupoteza muda tu.
Watu hawajui!

Mwarabu ni mnafiki! Yupo vizuri kwenye biashara. Lakini kwenye haya mambo ya kiusalama mwarabu ni mnafiki.

Alifanya unafiki kipindi cha Ottoman empire n.k walimfanyia unafiki Muammar Gaddafi. Walimfanyia unafiki Qatar kipindi cha Trump na list inaendelea.

Hakuna chochote mwarabu anachoweza kufanya zaidi ya unafiki. Waarabu wa kweli walishapita waliyobakia ni wanafiki.
 
Dawa yao ni Hamas kwenye maeneo yao.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, hata Israel na US wanafahamu hilo ndio maana hata kauli zao (Arab league) za kutaka Vita visitishwe zinapuuzwa na hawa mabeberu.

Isitoshe hizo tawala za kiimla za kiarabu mf Saudia, Jordan,Bahrain, UAE, Qatar, Morocco n.k zinategemea mno ulinzi kutoka kwa Marekani ili kubakia madarakani.

Kiufupi Wapalestina wenyewe ndio wanaotakiwa wapambane mpaka wapate Uhuru wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…