Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Hii ni sawa kabisa, nchi moja isichagulie nchi nyingine maadui au marafiki.
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Wana Akili Jordan!
Wahenga walisema chako kula halahala JIRANI
 
Iran alikuwa anamtishia Jordan na Misri bila kujua nguvu na ushawishi wa Isarael na Marekani kwa mataifa ya Mashariki ya kati ni mkubwa kuliko alio nao Irani kwa mataifa hayo.

Za Israel zitapita Jordan kupiga Iran ila za Irani kwenda Israel ni NO
Jordan hawezi akaruhusu anga lake litumike dhidi ya Iran.
Maana anajua kapakana na Lebanon na anajua retaliation ya Iran sio ndogo.
Yani yeye yupo neutral,kama angekua anaruhusu basi angeruhusu mwezi May kipindi Iran ilirusha makombora Israel.Ila mbona hakuliruhusu anga lake litumike na Israel!?
 
Back
Top Bottom