Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan inalinda Anga lake
Jordan inashirikiana na Israel katika mambo mengi ikiwemo ulinzi
Jordan ni kibaraka wa marekani sio israel kama ilivyo saudi arabia , ni selfishness tu kama umoja wa africa ulivyoangalia matumbo yao wakati gaddafi anashambuliwa na marekani
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Sababu ni moja tu:
Hamas wakichukua nchi au wakiwa na nguvu hakuna mwqrqbu hata mmoja atakayebaki.
Ndio maana hawa jamaa hawataki refugees kutoka Palestina, Egypt akajenga na ukuta. Hawa majamaa mziki wao sio wa Kitoto, Lebabon hadi leo hakujatulia
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
bado masaa 24 tu out of 72 ili tuanze kuona vimondo. people are waiting.
 
Sio kweli.
Lebanon aliwakarisha wakataka kupindua serikali
Unaona gaddafi alochofanyiwa na AU ni sawa, unajua ile 6 day war nani aliuza mechi it was morrocco na liwaita hadi mossad kwenye hotel mkutano wa siri wa nchi tatu wa kuovamia israel na hadi leo morocco afurukuti kwa marekani one of the things alichoahidiwa among others ni western sahara
 
Na Hapo hao magharibi ñdipo wanapojiona mîungu Watu Kwa kupitia udhaifu wetu.
Yes hatufurukuti huu utumwa hadi mwisho wa dunia na akitokea mtu wa kufurukuta kama magufuli hatodumu kwenye utawala hata tufanye nini, sisi ni wa kutawaliwa na kuamuliwa milele hii hali haitobadilika
Ni kama brics wanavyohangaika kuimaliza usd sishani kama wataweza kushindana na mfumo marekani aliyouweka maana ana control kila kitu ikiwemo nani awe kiongozi nchini kwako ,mkizingua anawaletea vurugu na mapinduzi nchini kwenu naona venenzuela wanavyohangaika
 
Huyu mnafiki maana baba yake alikuwa mwamba haswa na jemedari
Alikuwa analinda anga lake tu wakati Iraq alikuwa anarusha kupitia anga lake miaka ya 90
Jordan ni nchi nzuri sana asiiharibu kwa misifa

Ila hii vita naona huyo Rais wa Iran ni pandikizi
Just thinking loud
Kwanini wakati anaapishwa tu Ismail akauwawa na bomb limewekwa 2 months ago na kwanini mfulululizo wa mauwaji yameanza baada ya huyu Rais mpya wa Iran?
Maswali mengi najiuliza
 
Ayatollah hajulikani alipo kwa uoga, Nasrallah wa Hezbollah hajulikani alipo, MOSAD imeamua kuwafuata huko huko walipo makomando wako Tehran na Lebanon with fake skin, yaani utawaona kwa sura ni Wairani kabisa au walebanon kabisa kumbe ni MOSAD ndani ya Iranian skined face, yaani wako makomandoo wanatembea Tehran na Lebanon free kabisa, wanawasaka man to man, sasa Ayatollah kajua, halali, haamini hata inzi 😅
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Israel ni Taifa la Mungu.
Mungu hatoruhusu lipotee.
Over!!!
 
Ayatollah hajulikani alipo kwa uoga, Nasrallah wa Hezbollah hajulikani alipo, MOSAD imeamua kuwafuata huko huko walipo makomando wako Tehran na Lebanon with fake skin, yaani utawaona kwa sura ni Wairani kabisa au walebanon kabisa kumbe ni MOSAD ndani ya Iranian skined face, yaani wako makomandoo wanatembea Tehran na Lebanon free kabisa, wanawasaka man to man, sasa Ayatollah kajua, halali, haamini hata inzi 😅
Waisrael wengi wanafanana na waarabu ndio maana kuna yule muisrael alikamatwa france akiwa na passport ya syria akiwa na vilipuzi kutafuta support ya nchi za magharibi wakati ushawishi wa israel unapungua kwenye nchi za magharibi ,angefanikiwa kulipua angeacha passport yake na wote tungewachukia waarabu kwamba ni wauaji na magaidi na israel angeendelea kupata ushawishi wa magharibi ambao at the moment umepwaya
 
Israel ni Taifa la Mungu.
Mungu hatoruhusu lipotee.
Over!!!
Achana na imani za kishirikina kama wale wafuasi wa kiboko ya wachawi, mataifa yote ni ya mungu ila ni ngumu kwa taifa lolote kufutika kwa dunia ya sasa ,fikiria israel amekuwa akiwaua wapalestina kwa zaidi ya 50 years huku hawana silaha lakini kashindwa kuwamaliza hadi leo
 
Yes hatufurukuti huu utumwa hadi mwisho wa dunia na akitokea mtu wa kufurukuta kama magufuli hatodumu kwenye utawala hata tufanye nini, sisi ni wa kutawaliwa na kuamuliwa milele hii hali haitobadilika
Ni kama brics wanavyohangaika kuimaliza usd sishani kama wataweza kushindana na mfumo marekani aliyouweka maana ana control kila kitu ikiwemo nani awe kiongozi nchini kwako ,mkizingua anawaletea vurugu na mapinduzi nchini kwenu naona venenzuela wanavyohangaika

Kikawaida Dola Likiwa na Ñguvu na Dunia ikilishindwa dola Hilo hupasuka kutokea ndàni na siô nje.
 
Hezbollah claims missile attack on Israeli military position​

On Telegram, the Lebanese political party and paramilitary group says that its fighters attacked the al-Marj site of the Israeli army, hitting it directly.
Yesterday, the leader of Hezbollah, Hassan Nasrallah, announced that Israel should expect a large military response for its attack on Beirut Tuesday that killed senior military figure Fouad Shukr.
 
Jordani ana akili anajua hana ubavu wa kupambana na Israel, pia anajua Iran hatashinda hiyo vita, Iran anataka nchi za kiarabu ziingie vitani ili maeneo yao yanyakuliwe tena. Hongera sana Jordan
 
Yaani ukisoma Qur an suratul Munafiqun ndio imetaja hao waarabu tabia yao , ni wanafiki sana mpaka utabiri kwamba ule msikiti pale utavunjwa na wanaisrael na kujenga hekalu lao ni sababu ya unafiki wao .
Pole kijana.
 
Back
Top Bottom