Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Umeona eeeh !! Mda huo Jordan amaeshapokea ndege za kivita za marekani , Kambi ya NATO inajengwa hapo na jiwe la msingi tayari .
hua nasema waarabu na waafrika tunalingana akili. walichotuzidi waarabu ni kusimamia rasilimali vizuri ya mafuta kwa ustawi wa jamii nzima. hapo nawapa point 3. kwingine ni katambuga kama sisi manigger
 
Yes hatufurukuti huu utumwa hadi mwisho wa dunia na akitokea mtu wa kufurukuta kama magufuli hatodumu kwenye utawala hata tufanye nini, sisi ni wa kutawaliwa na kuamuliwa milele hii hali haitobadilika
Ni kama brics wanavyohangaika kuimaliza usd sishani kama wataweza kushindana na mfumo marekani aliyouweka maana ana control kila kitu ikiwemo nani awe kiongozi nchini kwako ,mkizingua anawaletea vurugu na mapinduzi nchini kwenu naona venenzuela wanavyohangaika
Marekani ndio utawala wa mwisho kinabii, utawala uliojawa na uovu lakini ndio utawala ambao utadumu mpaka mwisho wa dunia.

Hakuna BRICS wala Mbweha yeyote wa kuidondosha US. Mifumo aliyojiwekea ni mizito sana na yeye kila akiamka anajilinda asianguke.
 
Marekani ndio utawala wa mwisho kinabii, utawala uliojawa na uovu lakini ndio utawala ambao utadumu mpaka mwisho wa dunia.

Hakuna BRICS wala Mbweha yeyote wa kuidondosha US. Mifumo aliyojiwekea ni mizito sana na yeye kila akiamka anajilinda asianguke.
Unadhani miamba iliopita haikujiandaa isianguke?
Suala la marekani kuanguka nisuala la muda tu
Haijalishi itakua miaka mia ama elfu laki au milioni ngapi
Mwisho amerika haitavunjika kwa nguvu kutoka nje
 
Lakini hata kama NI wajinga NI ndugu zako.
Huwezi jiunga na wazungu Kwa Akili zào na kuwaacha waafrika Kwa ûjinga waô Wakati NI ndugu zako ukitegemea utakuwa salama.

Waarabu na waafrika Hapo ñdipo wanapokwama
Acha haya maneno, huwezi kujiunga hata kama ni ndugu zako unless uwe mjinga mwenzao usiye na mpango wa kusogea mbele.
 
Achana na imani za kishirikina kama wale wafuasi wa kiboko ya wachawi, mataifa yote ni ya mungu ila ni ngumu kwa taifa lolote kufutika kwa dunia ya sasa ,fikiria israel amekuwa akiwaua wapalestina kwa zaidi ya 50 years huku hawana silaha lakini kashindwa kuwamaliza hadi leo
Niliyemtaja mimi na uliyemtaja wewe ni wawili tofauti.
Kwahiyo hii haikuhusu.
 
Fuatilia historia ya uanzishwaji wa Ufalme wa Jordan. Ni zao la usaliti dhidi ya Khilafa ya Othoman Empire uliofanywa na viongozi wa Kiarabu kwa kushawishiwa na Muingereza ili waweze kuivunjavunja hiyo Khilafa.
Kwa hiyo ufalme wa Jordan ni tunda la manuevring ya Muingereza.
Sio Jordan peke yake, watawala wa sasa hivi wa nchi za kiarabu karibia zote baba au babu zao walikua ni majasusi wa Uingereza waliotumiwa kuisambaratisha dola ya Ottoman, hivyo hawa watoto na wajukuu waliopo madarakani hivi sasa hawawezi kwenda kinyume na mabwana zao.
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Hao wanafik hata bila kusema chochote wanajulikana. Huyo Mfalme wa Jordan amaekalia kiuti kavu.

Huyo ndiyo katika hawa:Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu
 
Sio Jordan peke yake, watawala wa sasa hivi wa nchi za kiarabu karibia zote baba au babu zao walikua ni majasusi wa Uingereza waliotumiwa kusambaratisha dola ya Ottoman, hivyo hawa watoto na wajukuu waliopo madarakani hivi sasa hawawezi kwenda kinyume na mabwana zao.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha hawawezi kutumia mbongo zao?What a freak!
 
Back
Top Bottom