Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

We Muongo sana, Jordan hana mpaka na Lebanon, ramani yako ni ya wapi? Jordana kaskazini amepakana na Syria (Syria ndie amepakana na Lebanon), mashariki Jordan kapakana na Iraq, Kusini amepakana na Saud Arabia, na Magharibi Jordana kapakana na Israel kupitia mto Jordan. Hiyo raman ulio nayo ni ya uongo achana nayo.
Mbona umekuja kwa kukurupuka sana kaka!?
Tunaelekezana kama mtu kakosea unarekebisha.
Kupachika Watu majina kunakusaidia nini!?
Aya sawa Jordan kapakana na Syria,hivi unafahamu kama Hizbollah silaha anazichukulia Syria na command center ipo Syria!?
Hizbollah inaweza ika launch attacks kupitia Syria ni yale yale tu.
 
Upo sahihi
 
Waarabu kwa jinsi walivyo wanafiki hilo jambo halitawezekana
Kugeukana ni dakika 0. Irani na Iraq walishazichapa kama muongo mmoja uliopita leo eti wana join forces kupigana na Israel. Swali ni kweli wanaaminiana vya kutosha? visasi na vinyongo vimeisha mioyoni mwao? Maana mmoja asije muuza mwenzake.
 
Waarabu waunde one Arabic state with one central command probably wanaweza kutoa changamoto kwa Israel japo kwa asilimia kadhaa. Ila kwa nature ya waarabu hili ni jambo gumu sn.
Ingekuwa waarabu wana umoja kama waajemi(Iran,Afghanistan n.k) hilo lingewezekana.
Ila waarabu ni wanafiki kiasi cha kupinduana wenyewe kwa wenyewe.
Wengine ni viongozi wa kiharamu katika mataifa yao hivyo wanategemea ulinzi wa USA wasalie madarakani mfano King wa Jordan.
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
wakiristo wa Jf wanafuraha, sijui kwanini?
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Jordan ni moja ya nchi dhaifu sana na ya kinafiki hapo mashariki ya kati.Na maguvu ya kifalme ndiyo yanafanya kazi.
Hali ikichafuka zaidi hawataweza kujilinda wala kuilinda Israel.
 
Uingereza aliigawanya ardhi ya Israel in two parts one side for Arabs and one part for Jews upande wa Arabs ndio Jordan and wa Jews ndio Israel ya Sasa issue Arabs walikuweko maeneo ya Israel wakagoma kusepa ila Jews walikuwepo side ya Arabs walihama na walibakia waliuliwa wote ki Genocide Ila Israel aliwafurusha t bila kuwadedisha technical foul alifanya. ndio matokeo ya kijinga ya sasa..
 
Back
Top Bottom