Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Thank you historical Jordan:

"The Jordan River marks the last boundary between the wilderness–where the Israelites have been wandering for forty years–and the land God has promised to Israel. As such, the crossing of the river is a momentous occasion, the beginning of the fulfillment of God's promises to Israel."
 
Mto Yordani una historia kubwa kwa Israel.
 
Kwa nini April 2024 hawakuzitungua?
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
 
Ngoja warabu wa buza watakuja.
 
Jordan hawezi akaruhusu anga lake litumike dhidi ya Iran.
Maana anajua kapakana na Lebanon na anajua retaliation ya Iran sio ndogo.
Yani yeye yupo neutral,kama angekua anaruhusu basi angeruhusu mwezi May kipindi Iran ilirusha makombora Israel.Ila mbona hakuliruhusu anga lake litumike na Israel!?
We Muongo sana, Jordan hana mpaka na Lebanon, ramani yako ni ya wapi? Jordana kaskazini amepakana na Syria (Syria ndie amepakana na Lebanon), mashariki Jordan kapakana na Iraq, Kusini amepakana na Saud Arabia, na Magharibi Jordana kapakana na Israel kupitia mto Jordan. Hiyo raman ulio nayo ni ya uongo achana nayo.
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.

Noma sana...
 
Lakini hata kama NI wajinga NI ndugu zako.
Huwezi jiunga na wazungu Kwa Akili zào na kuwaacha waafrika Kwa ûjinga waô Wakati NI ndugu zako ukitegemea utakuwa salama.

Waarabu na waafrika Hapo ñdipo wanapokwama
Ukiibariki Israel UTABARIKIWA ukiilani Israel UTALAANIWA. Jordan mjanja kumbuka ndio taifa Ruth wa Biblia alipotoka.
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Hivi na sisi kama taifa tunaweza kujitokeza na kutoa tamko kama hili kwa hali tuliyo nayo
 
Jordan hawezi akaruhusu anga lake litumike dhidi ya Iran.
Maana anajua kapakana na Lebanon na anajua retaliation ya Iran sio ndogo.
Yani yeye yupo neutral,kama angekua anaruhusu basi angeruhusu mwezi May kipindi Iran ilirusha makombora Israel.Ila mbona hakuliruhusu anga lake litumike na Israel!?
Una uhakika vita vikizuka kati ya Israel na Iran,hao Jordan hawatamruhusu Israel kutumia anga lao?
 
Back
Top Bottom