Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Typo pamoja Jordani 🤝🤣🤣🤣🤣🤣🤣piga magaidi hayo
 
Hao wazungu Ñguvu Yao inategemea kunafikiana Kwa jamii zingine

Alafu Kanuni Yao ya kushambulia na kuvamia Wengine inawabeba
Yaani ukisoma Qur an suratul Munafiqun ndio imetaja hao waarabu tabia yao , ni wanafiki sana mpaka utabiri kwamba ule msikiti pale utavunjwa na wanaisrael na kujenga hekalu lao ni sababu ya unafiki wao .
 
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.

Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.

Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Asante Jordan👏👏👏🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴👏👏👏 Haiwezekani wewe ukubali ndugu za Mnyahudi Yesu Kristu aliyebatizwa katika mto wenu na ukawa ndio Mwanza wa ukristu kuikubali kuchezewa chezewa hovyo
 
Taifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel🙏
Ubarikiwe Israel 🙏
Ubarikiwe Israel🙏
 
Iran alikuwa anamtishia Jordan na Misri bila kujua nguvu na ushawishi wa Isarael na Marekani kwa mataifa ya Mashariki ya kati ni mkubwa kuliko alio nao Irani kwa mataifa hayo.

Za Israel zitapita Jordan kupiga Iran ila za Irani kwenda Israel ni NO
Hawana uwezo kutungua kombora za Iran, subirini msikie, Iran sio Libya.
 
Back
Top Bottom