Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
- Thread starter
- #101
Umeelewa kilichoandikwa?Una uhakika vita vikizuka kati ya Israel na Iran,hao Jordan hawatamruhusu Israel kutumia anga lao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa kilichoandikwa?Una uhakika vita vikizuka kati ya Israel na Iran,hao Jordan hawatamruhusu Israel kutumia anga lao?
Waarabu kwa jinsi walivyo wanafiki hilo jambo halitawezekanaWaarabu waunde one Arabic state with one central command probably wanaweza kutoa changamoto kwa Israel japo kwa asilimia kadhaa. Ila kwa nature ya waarabu hili ni jambo gumu sn.
Mbona umekuja kwa kukurupuka sana kaka!?We Muongo sana, Jordan hana mpaka na Lebanon, ramani yako ni ya wapi? Jordana kaskazini amepakana na Syria (Syria ndie amepakana na Lebanon), mashariki Jordan kapakana na Iraq, Kusini amepakana na Saud Arabia, na Magharibi Jordana kapakana na Israel kupitia mto Jordan. Hiyo raman ulio nayo ni ya uongo achana nayo.
Upo sahihiMbona umekuja kwa kukurupuka sana kaka!?
Tunaelekezana kama mtu kakosea unarekebisha.
Kupachika Watu majina kunakusaidia nini!?
Aya sawa Jordan kapakana na Syria,hivi unafahamu kama Hizbollah silaha anazichukulia Syria na command center ipo Syria!?
Hizbollah inaweza ika launch attacks kupitia Syria ni yale yale tu.
Hawatamruhusu maana hata mwanzo walikataa.Una uhakika vita vikizuka kati ya Israel na Iran,hao Jordan hawatamruhusu Israel kutumia anga lao?
Kugeukana ni dakika 0. Irani na Iraq walishazichapa kama muongo mmoja uliopita leo eti wana join forces kupigana na Israel. Swali ni kweli wanaaminiana vya kutosha? visasi na vinyongo vimeisha mioyoni mwao? Maana mmoja asije muuza mwenzake.Waarabu kwa jinsi walivyo wanafiki hilo jambo halitawezekana
Ingekuwa waarabu wana umoja kama waajemi(Iran,Afghanistan n.k) hilo lingewezekana.Waarabu waunde one Arabic state with one central command probably wanaweza kutoa changamoto kwa Israel japo kwa asilimia kadhaa. Ila kwa nature ya waarabu hili ni jambo gumu sn.
Mameeeeee kumbe we ndio mama mkwe uliyetaka kumuachia Razi mkwe wako!??Nahusikaje kwenye hii vita mkuu
Ndio mimiMameeeeee kumbe we ndio mama mkwe uliyetaka kumuachia Razi mkwe wako!??
🤔🤔🤔🤔
wakiristo wa Jf wanafuraha, sijui kwanini?Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Jordan ni moja ya nchi dhaifu sana na ya kinafiki hapo mashariki ya kati.Na maguvu ya kifalme ndiyo yanafanya kazi.Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Kwa maonyesho yale ya tarehe 9 December!!Inategemea km hiyo misuli tunayo tunaweza mbona
Tulisema tuombe vita ya kirafiki na jirani yeyote mwembamba mrefu wakakaa kimyaInategemea km hiyo misuli tunayo tunaweza mbona
Ongezea na hii: Hauna tofauti na umoja wa nyumbu akitokea hata simba mmoja tu wote wanatawanyika kila mmoja kivyake.Huo umoja WA kiarabu hauna tofauti na umoja wa Afrika