Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Hii ni sawa kabisa, nchi moja isichagulie nchi nyingine maadui au marafiki.Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Wale wale rangi tofauti tuHuo umoja WA kiarabu hauna tofauti na umoja wa Afrika
Umeona eeeh !! Mda huo Jordan amaeshapokea ndege za kivita za marekani , Kambi ya NATO inajengwa hapo na jiwe la msingi tayari .Huo umoja WA kiarabu hauna tofauti na umoja wa Afrika
Waarabu na waafrika akili zao zinafananaHuo umoja WA kiarabu hauna tofauti na umoja wa Afrika
Mkuu, Huu ufuasi ni kama ule wa Simba na Yanga au una utofauti?Kila la heri Israel na sisi wafuasi wake.
Wana Akili Jordan!Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Waarabu na waafrika akili zao zinafanana
Umeona eeeh !! Mda huo Jordan amaeshapokea ndege za kivita za marekani , Kambi ya NATO inajengwa hapo na jiwe la msingi tayari .
Sunni na shia Toka lini wapikwe chungu kimoja??Iran alikuwa anamtishia Jordan na Misri bila kujua nguvu na ushawishi wa Isarael na Marekani kwa mataifa ya Mashariki ya kati ni mkubwa kuliko alio nao Irani kwa mataifa hayo.
Za Israel zitapita Jordan kupiga Iran ila za Irani kwenda Israel ni NO
Wale wale rangi tofauti tu
Jordan hawezi akaruhusu anga lake litumike dhidi ya Iran.Iran alikuwa anamtishia Jordan na Misri bila kujua nguvu na ushawishi wa Isarael na Marekani kwa mataifa ya Mashariki ya kati ni mkubwa kuliko alio nao Irani kwa mataifa hayo.
Za Israel zitapita Jordan kupiga Iran ila za Irani kwenda Israel ni NO