Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ushaona eeh,jamaa funiko sio wakuomba kolabo huyu.
mi kitu nachoshindwa kuelewa kuwa legend huwa ina sifa gani pale unapokuja kufunikwa na madogo,profesa jay leo akiacha mziki sidhani kama itachukua attention ya watu,ila diamond aseme naacha mziki watu watamwelewaje,sasa kuwa legend ina sifa gani hasa!Sio mchanga lakini hapa anaonesha ni immature coz' kuomba collabo haina maana kwamba aombae ni mchanga au hawezi kusimama peke yake... huu ni ushamba na ulimbukeni coz' sitaki kuamini kwamba hadi anaingia kaburini hatakuja kumshirikisha msanii yoyote East Africa achilia mbali Afrika!! Mtu unaweza kuwa legend lakini bado ukafanya kazi na msanii aliye mdogo kwako kama ambavyo Professa J alipoamua kumshirikisha Diamond...
Ni sifa tu ambazo hazina tangible benefits... hata huko US ambako ndo kuna magwiji kwenye game, tunawaona wale waliokuwa wanatamba enzi hizo wakiwashirikisha wanaotamba hivi sasa na ndio maana huwa nashangaa sana watu ambao wanaona ni big deal linapokuja suala la X kuomba kumshirikisha Y... yaani kuna watu, including wanamuziki wenyewe wanaona kama ni kashfa wakati ni jambo la kawaida sana...mi kitu nachoshindwa kuelewa kuwa legend huwa ina sifa gani pale unapokuja kufunikwa na madogo,profesa jay leo akiacha mziki sidhani kama itachukua attention ya watu,ila diamond aseme naacha mziki watu watamwelewaje,sasa kuwa legend ina sifa gani hasa!
Ni sifa tu ambazo hazina tangible benefits... hata huko US ambako ndo kuna magwiji kwenye game, tunawaona wale waliokuwa wanatamba enzi hizo wakiwashirikisha wanaotamba hivi sasa na ndio maana huwa nashangaa sana watu ambao wanaona ni big deal linapokuja suala la X kuomba kumshirikisha Y... yaani kuna watu, including wanamuziki wenyewe wanaona kama ni kashfa wakati ni jambo la kawaida sana...
Miwani utasema fundi wa welding.
Soma between the lines utaona tofauti kati ya kuomba na kuhangaikia (of course, kama yaliyoandikwa ndo yaliyosemwa). Kama kasema kuhangaikia, he is damn right.Sio mchanga lakini hapa anaonesha ni immature coz' kuomba collabo haina maana kwamba aombae ni mchanga au hawezi kusimama peke yake... huu ni ushamba na ulimbukeni coz' sitaki kuamini kwamba hadi anaingia kaburini hatakuja kumshirikisha msanii yoyote East Africa achilia mbali Afrika!! Mtu unaweza kuwa legend lakini bado ukafanya kazi na msanii aliye mdogo kwako kama ambavyo Professa J alipoamua kumshirikisha Diamond...
Tatizo la Diamond akisimama na msanii mkubwa basi wapambe wa Diamond wanaanza kuzusha huyo msanii anataka collabo.Rejea ya Mafikizolo South Africa.
Mkuu hivi lina ukweli eehh maana kwenye tuzo za MTV watu walisema eti, eti Nelly na yule demu wake Chris Brown walimfuata Diamond kuomba namba za simu
Labda ningepata mtaalam wa muziki kama mzee Masoud Masoud,ili anifafanulie ukubwa wake kimuziki,ila mara ya mwisho aliubeza uwezo wa diamond kimuziki ukimlinganisha na King Kiba.huyu diamond huyu!hawezi kukubalika na wote ila record yake kuja kuvunjwa mmh sijui!...nabii hakubaliki kwao hata hao wanaoheshimika leo kina marijani rajabu sijui mbaraka mwinshehe naamini enzi zao kuna watu walikuwa wanawaona vitoko tu!..huyu diamond anatengeneza historia moja kubwa sana kimziki ambayo leo usipotumia jicho la tatu huwezi kuiona ila ikija kupita miaka kadhaa ndo tutajua kwamba huyu mtoto nyoko katika tasnia ya music!...i must declare diamond kama diamond personally simzimiki ila diamond kimziki ni mkubwa saanaaa kuliko tufikiriavyo