Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Sio mchanga lakini hapa anaonesha ni immature coz' kuomba collabo haina maana kwamba aombae ni mchanga au hawezi kusimama peke yake... huu ni ushamba na ulimbukeni coz' sitaki kuamini kwamba hadi anaingia kaburini hatakuja kumshirikisha msanii yoyote East Africa achilia mbali Afrika!! Mtu unaweza kuwa legend lakini bado ukafanya kazi na msanii aliye mdogo kwako kama ambavyo Professa J alipoamua kumshirikisha Diamond...
mi kitu nachoshindwa kuelewa kuwa legend huwa ina sifa gani pale unapokuja kufunikwa na madogo,profesa jay leo akiacha mziki sidhani kama itachukua attention ya watu,ila diamond aseme naacha mziki watu watamwelewaje,sasa kuwa legend ina sifa gani hasa!
 
Ni sifa tu ambazo hazina tangible benefits... hata huko US ambako ndo kuna magwiji kwenye game, tunawaona wale waliokuwa wanatamba enzi hizo wakiwashirikisha wanaotamba hivi sasa na ndio maana huwa nashangaa sana watu ambao wanaona ni big deal linapokuja suala la X kuomba kumshirikisha Y... yaani kuna watu, including wanamuziki wenyewe wanaona kama ni kashfa wakati ni jambo la kawaida sana...
 
Tatizo wasanii wetu huku wanaona soo kuwashirikisha wasanii wanaoibuka wakidhani watafunikwa,ila kama nia ni biashara na kusikika nadhani biashara itaenda tu kwa legend kumshirikisha chipukizi anayesikika,na atasikika pia kwa maana chupukizi anasikika,wengi wanadhani kukataa collabo na madogo zao wanaokuja kasi ni njia ya kuwapoteza,kumbuka picha ya zamani ya alikiba na diamond waliyopiga pamoja,kiba kashatoka,diamond kavaa hovyo yaani ni kama aliomba kupiga picha na kiba,Leo je?aisee kiburi ya wasanii wetu haitawafikisha popote
 
Anaogopa kuonekana amesaodiwa na Diamond Refer kauli ya Diamond kwamba atamsaidia Ally Kiba
 
Tatizo la Diamond akisimama na msanii mkubwa basi wapambe wa Diamond wanaanza kuzusha huyo msanii anataka collabo.Rejea ya Mafikizolo South Africa.
 
Hata Diamond hana shida na kolabo na jose,,jose unatafuta kik
 
Sio mchanga lakini hapa anaonesha ni immature coz' kuomba collabo haina maana kwamba aombae ni mchanga au hawezi kusimama peke yake... huu ni ushamba na ulimbukeni coz' sitaki kuamini kwamba hadi anaingia kaburini hatakuja kumshirikisha msanii yoyote East Africa achilia mbali Afrika!! Mtu unaweza kuwa legend lakini bado ukafanya kazi na msanii aliye mdogo kwako kama ambavyo Professa J alipoamua kumshirikisha Diamond...
Soma between the lines utaona tofauti kati ya kuomba na kuhangaikia (of course, kama yaliyoandikwa ndo yaliyosemwa). Kama kasema kuhangaikia, he is damn right.
 
Tatizo la Diamond akisimama na msanii mkubwa basi wapambe wa Diamond wanaanza kuzusha huyo msanii anataka collabo.Rejea ya Mafikizolo South Africa.

Mkuu hivi lina ukweli eehh maana kwenye tuzo za MTV watu walisema eti, eti Nelly na yule demu wake Chris Brown walimfuata Diamond kuomba namba za simu
 
huyu diamond huyu!hawezi kukubalika na wote ila record yake kuja kuvunjwa mmh sijui!...nabii hakubaliki kwao hata hao wanaoheshimika leo kina marijani rajabu sijui mbaraka mwinshehe naamini enzi zao kuna watu walikuwa wanawaona vitoko tu!..huyu diamond anatengeneza historia moja kubwa sana kimziki ambayo leo usipotumia jicho la tatu huwezi kuiona ila ikija kupita miaka kadhaa ndo tutajua kwamba huyu mtoto nyoko katika tasnia ya music!...i must declare diamond kama diamond personally simzimiki ila diamond kimziki ni mkubwa saanaaa kuliko tufikiriavyo
 
Mi nilishasemaga kwenye moja ya thread zangu kuhusu huyu mtotot aliyekosa malezi bora aka Ndomo kuhusu kuombwa namba na Chris Brown huyu huyu wa With You, eti ameombwa namba ya simu ili wafanye collabo!
Yaani nilimshangaa sana Ndomondo!
 
Mkuu hivi lina ukweli eehh maana kwenye tuzo za MTV watu walisema eti, eti Nelly na yule demu wake Chris Brown walimfuata Diamond kuomba namba za simu

Unajua Diamond ni mmoja ya wasanii wakubwa kwenye huu ukanda wetu ila tatizo lake ni mashabiki maandazi kila jambo wao ni kuongeza chumvi na limao.
 
huyu diamond huyu!hawezi kukubalika na wote ila record yake kuja kuvunjwa mmh sijui!...nabii hakubaliki kwao hata hao wanaoheshimika leo kina marijani rajabu sijui mbaraka mwinshehe naamini enzi zao kuna watu walikuwa wanawaona vitoko tu!..huyu diamond anatengeneza historia moja kubwa sana kimziki ambayo leo usipotumia jicho la tatu huwezi kuiona ila ikija kupita miaka kadhaa ndo tutajua kwamba huyu mtoto nyoko katika tasnia ya music!...i must declare diamond kama diamond personally simzimiki ila diamond kimziki ni mkubwa saanaaa kuliko tufikiriavyo
Labda ningepata mtaalam wa muziki kama mzee Masoud Masoud,ili anifafanulie ukubwa wake kimuziki,ila mara ya mwisho aliubeza uwezo wa diamond kimuziki ukimlinganisha na King Kiba.
 
Back
Top Bottom