Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

[h=1][FONT=Georgia, Times New Roman, serif] [/FONT][/h][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Chameleone amesema kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya Afrika Mashariki.[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]“Lakini we talked about business na hatujamalizana nao. Lakini sio eti mimi nimempigia (Diamond) kumuomba tufanye collabo na kitu kama[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]hicho,” amesema Chameleone. “Wale wa Mziiki app ndo wanahitaji mimi na yeye tufanye kazi ya anthem ya Mziiki app. Wanajaribu kuunganisha yeye na mimi tufanye collaboration lakini sio eti mimi nimemu whatsapp na nimemuomba collaboration , that’s not right,” CHANZO UG >>>[/FONT]
[/FONT]
 

Acha kuwa kubwajinga, kila mfalme na zama zake. Unategemea leo hii Ronaldinho acheze mpira kama anavyocheza Neymar? Unategemea Ronaldinho wa sasa apate attention kubwa ya media kama ya Neymar? Je, kufunikwa kwake na Neymar kwa sasa kunakuondolea heshima yake ya uLEGEND?
 

Umeandika vyema sana. Kuanzia leo naanza kufuatilia maandiko yako. Umenivutia.
 
Mmesikia ndomo anafanya remix na R Kelly Storm is over?.
 
uwezi kuzungumzia bongofleva bila kumtaja diamond..dogo yuko juu sana..
 

Kumbe yeye ni msanii mkubwa
 
Tuacheni sifa za kijinga Jozeeee ni mwanamuziki mkubwa huwezi hata kidogo kumfananisha na huyo domo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…