Jose Chamilioni amepatwa na nini aisee?

Amepata ugonjwa wa mastaa wengi
. Ametafuta kwa bidii akapata za kutosha
. Akapata vitu vingi vya ndoto zake
.Akapata umaarufu
.Akapata heshima
So what next?
Sasa ana kila kitu lakini hana marafiki wa kweli.. Anahisi upweke.. Hapati mapenzi ya kweli.. Hapati mtu wa kumsikiliza hisia zake za ndani
Mwisho wa yote anaona pombe ndio rafiki anayeweza kumuondolea upweke kwakuwa pengine kamsahau hata Mungu
 
Hajui kwamba upweke ni kujikosa we mwenyewe,sio watu wengine..,angetafuta msaikolojia angemsaidia sana.
 
Mtoto wake anasema sababu ni pombe iliyozidi kiasi.
Mungu ampe neema ya uponyaji, Kristo amezaliwa akahuishe viungo vyake akawe mzima.

Somo kwetu sisi ni tusinywe pombe kupita kisasi.
 
Ukishakuwa na pesa unadhani umeshamaliza kila kitu na unajua kila kitu
Na wala siyo lazima ziwe yingi. Jamaa yangu akikaa muda hajaingiza pesa, siku akizikamata anachanganyikiwa. Atamnunulua mtoto nguo ya bei mbaya, siku ya tano amesahau ananunua nguo ile ile. Mwingine kamshahara tu, ananunua mikate jioni, asubuhi anaagizia maandazi mengi tu, mwisho anaishia anagawa vingine. PESA.
 
Legend kwanza hakukubaliana na hali
amepata uraibu wa pombe ili apoteze mawazo
Umaarufu na mali vinamwendesha kasi
alipata sonona
Mbaya zaidi hajagundua tatizo ni yeye mwenyewe anahisi Amerogwa

QR DR JOSE CHAMELEON
BABA JAMILA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…