Jose Chamilioni amepatwa na nini aisee?

Jose Chamilioni amepatwa na nini aisee?

Ila jose chameleon ana sauti ya kuimba aisee, kuna watu walipewa karama, kuna ngoma yake ile ya valuvalu kaimba live huwa sichoki kuisikiluza yaani, basi tu maisha ni safari
Jamaa kipaji kikubwa
Na nyimbo zake asilimia kubwa zinaelimisha jamii
Ile collabo na Prof J "Ndivyo sivyo"
"Jamila"

Afya yake iimarike jamaa, tunamuombea.
 
Daaah kuna mdogo angu yupo nae pale huwa anapiga kazi moja mbili tatu na yeye lakini kwenye malipo jamaa huwa anamzungusha sana.....

Si ndo huyo wa tuongee tamthilia..
Juzi nilikutana nae nikaona jamaa poa sana kumbe sometimes anazingua
Bado sijakuelewa, huyo dogo ameajiriwa na senga?
 
Back
Top Bottom