Kuna ile iliyotoka baada ya valuvalu inaitwa 'tubonge'... aisee ni bonge la jiwe.. kaimba sana muleIla jose chameleon ana sauti ya kuimba aisee, kuna watu walipewa karama, kuna ngoma yake ile ya valuvalu kaimba live huwa sichoki kuisikiluza yaani, basi tu maisha ni safari