babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Ana nafuu sana kwasasa, kaenda Marekani kutibiwa.
Huyo si mara ya kwanza kupitia magumu ni maisha anapenda.
Aliwai kuruka toka ghorofani huko Arusha.
Mara kibao hafiki ukumbini yuko bwax huko ughaibuni.
Ni maisha yake anyway.