Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Mali gani alizoiba?, weka source za majarida na hukumu zilizotolewa mahakamani kuwa ni mwiziMali za wizi huwa hazirekodiwi.
Hongera, umetumia uhuru wako wa maoni piaVunja bei
Ndiyo sababu humkuti kwenye orodha ya matajiri.Mali gani alizoiba?, weka source za majarida na hukumu zilizotolewa mahakamani kuwa ni mwizi
Weka source sio maneno matupu, hayo mambo peleka FacebookHuyu marehemu utajiri wake ulitokana na ufisadi kipindi akiwa raisi.
Inasemekana binti yake kwa sasa ndio mtu tajiri nambari moja Africa.
Hivyo hatuwezi linganganisha utajiri wake na dangote ambaye ni pure mfanyabiashra.
Kwahiyo huyu ni masikiniNdiyo sababu humkuti kwenye orodha ya matajiri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo wanachuana na GSM
Afrika matajiri Ni wengi kuliko hao wanaolipa Kodi kihalaliHuyu mwamba nilikuwa nafatilia sana baadhi ya majarida yakimtaja ndiye mtu tajiri barani Afrika, amewahi kuwa Rais wa Angola kwa muda mrefu sana. Mara tu baada ya kustaafu alianza kuumwa na hivi sasa mwili wake upo kwenye jokofu ktk jiji la Barcelona. Utajiri wake unatokana na mafuta pamoja na biashara za madini.
Je ni tajiri gani mwingine unaemsikia anapesa nyingi zaidi ya hawa akina dangote watoto wajuzi Kati.
Mimi naweka hawa hapa.
1.uhuru Kenyatta, hapa dongote cha mtoto
2.the Moi family
.. Weka wa kwako na wewe
View attachment 2293800
Ndiyo ni masikini, kwa tafsiri ile ya masikini ni mtu aliyekufa…. Josè alishakufa.Kwahiyo huyu ni masikini
Unauchungu naye utadhani kakuacha mjaneWeka source sio maneno matupu, hayo mambo peleka Facebook
Sawa kidotiiVunja bei