Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Huyu mwamba nilikuwa nafatilia sana baadhi ya majarida yakimtaja ndiye mtu tajiri barani Afrika, amewahi kuwa Rais wa Angola kwa muda mrefu sana. Mara tu baada ya kustaafu alianza kuumwa na hivi sasa mwili wake upo kwenye jokofu ktk jiji la Barcelona. Utajiri wake unatokana na mafuta pamoja na biashara za madini.
Je ni tajiri gani mwingine unaemsikia anapesa nyingi zaidi ya hawa akina dangote watoto wajuzi Kati.
Mimi naweka hawa hapa.
1.uhuru Kenyatta, hapa dongote cha mtoto
2.the Moi family
.. Weka wa kwako na wewe