José Eduardo dos Santos ni tajiri Dangote hafui dafu

Huyo yupo huko Barcelona na Portugal kwa mama ake....anakula bata, pesa nyingi imechimbiwa ulaya huko....ila juzi Kati kafiwa na mume wake yule chotara wa kikongo
Isabela hajaolewa ndugu, acha kudanganya
 
Joao Lourenco (JLo) Rais was Sasa wa Angola ameshafanikiwa kuwanyang'anya familia ya huyo mkimbizi Marehemu Dos Santos mabilioni ya Dollar waliyoiba huko Angola na kuyakimbizia Ulaya. Tena kwa msaada wa serikali za huko huko Ulaya . Kwa hiyo mpaka anakufa, hakuwa na ukwasi huo.
 
Huyu marehemu utajiri wake ulitokana na ufisadi kipindi akiwa raisi.

Inasemekana binti yake kwa sasa ndio mtu tajiri nambari moja Africa.

Hivyo hatuwezi linganganisha utajiri wake na dangote ambaye ni pure mfanyabiashra.
Stori hiyo imesha_expire. JLo kashawanyoosha yeye na baba yake mpaka wamekuwa wakimbizi huko Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…