MuuzaStudyMaterials
JF-Expert Member
- Aug 15, 2018
- 408
- 454
Watu wengi wasichokijua ni kwamba. Man U huwa ina make headlines pasipo headlines kwa upande wa club, na Mou huwa ana make headlines kwa upande wa makocha.Umeeleza vzuri tu mkuu, sema unaajua kinachomcost mou anaongea sana kias kwamba waandish wa hbari wanamftilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sio kocha, ni MChana mbinu kabisa aiseee !
usinibague mkuu si vizuri .Rudi ktk siasa huku sio mahala pako hata pep kasajili magalasa wakina nolito anashindwa kuhojiwa kisa kombe subir akose
Mourinho alipokuwa akibeba makombe hiz thread zilikuwepo?
Ila mashabiki wa united washangilie mpira wa pasi tu hayo mambo ya liverpool hatuyataki bora tuendelee kupigwa kuliko kushangilia mpira usio na hata chembe ya ubingwa fulani hata carabaoPochetino anaweza kuwa tayari kuja, ukizingatia Tottenham hawakumpa ata senti ya kufuta vumbi kikosi
Hapana huku hupawezi huwezi kuchukua ubingwa bila kutumia pesa ni kocha yupi kafanya hayo kapata ubingwa bila pesa?usinibague mkuu si vizuri .
Mkuu huyu nae msimu huu akitoka kapa atakuwa na wakati mgumu.Klopp haandamwi japo hana hata kisahani
Naona umeangukwa machozi ya kutosha, sasa unataka kusaidiwa nini wewe na Maureen wako maana usajili wa fedha nyingi kafanya na mishahara minono kina Sanchoka wanalamba. Tumfanyeje? Apewe akiba yote awasajili Messi, Neymar na Ronaldo?Hakuna kitu kibaya kutendea akili, nafsi na roho kama ku judge jambo kwa hisia, tamaa, hulka, silka, chuki na wivu.
Ina maana mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Man City?
Mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Liverpool?
Kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Chelsea?
Ina maana mnataka kusema mmekwisha sahau Mou wa Porto? Porto kulikuwa na wachezaji gani?
Mmekwisha sahau Mou wa Chelsea? Aliyeleta Chelsea toka uvunguni hadi kwenye timu ya kuchukua mikoba?
Mmekwisha sahau Mou wa Inter Millan aliyechukua treble huku akiwatoa Barca wakiwa kwenye ubora wao wa karne?
Mmekwisha sahau Mou wa Man U yule aliyekuja msimu wa kwanza kasajili wachezaji watatu tu kachukua Europa, Community Shield, n.k. msimu wa kwanza?
Mmekwisha sahau Mou yule msimu uliopita alipeleka Man U nafasi ya pili ligi kuu, nafasi ambayo Man U haijawahi kufika tangu Sir Alex astaafu?
Mmekwisha sahau kuwa Klop, Pochetino wote walikuwa England muda tu lkn hadi sasa hawana hata bakuli sembuse kombe?
Mmekwisha sahau kwamba msimu uliopita kama sio Man city walio kwenye ubora mkubwa basi kombe la ligi likeenda Man U? Akina Klop, Conte na Pochetino walikuwa wapi?
Ina maana mmekwisha sahau namna Mou alivyokuwa analialia kuhusu kupatiwa walau mchezaji mmoja tu beki?
Ina maana hamuoni namna Man City, Liverpool na Chelsea wanavyofanya manunuzi?
Ina maana mmekwisha sahau kauli ya Ed Woodward kwamba matokeo ya Man U uwanjani hayana athari zozote za kibiashara (na hiki ndicho kilichofanya pasiwepo usajili wa maana msimu huu)
Makosa yanayofanywa na mabeki wa Man U ni ya Mou?
Ok. Tuseme hayo yamepita kwenu hayana maana tena. Sasa, kama mshabiki wa Soka wewe unadhani ukipewa hicho kikosi cha Man U cha sasa utafika nacho wapi????
Kwa waelewa wa soka, mtakubalina nami kuwa Ed Woodward ndio chanzo cha ubovu wa Man U. Lazima alipokuwa Gill David na Sir Alex mambo yalikuwa yanaenda vizuri kabisa.
Na kwa kuona hilo ndio maana wanamtafuta Sporting Director ambaye yeye atakuwa anajihusisha na usajili tu na Ed Woodward kujihusisha na masuala ya commercial ya club maana anashindwa kumudu nafasi zote mbili kwa mpigo.
Na ndio maana fans wa Man U mechi ya juzi waliwa pigia makofi mengi sana wachezaji pamoja na Mou japo game walipoteza. Hii ni kwa sababu wanaelewa wazi wapi tatizo la timu lipo.
Na kwa wafuatiliaji wa soka la ushindani, Man U kumuondoa Mou pale watakuwa na options chache sana za kupata makocha bora.
Mou bado ni kocha bora sana. Man U wanashindwa kukubaliana na wakati, kwamba soka la leo ni pesa. Beki ghali zaidi duniani yupo Liverpool, Golikipa ghali zaidi duniani yupo Liverpool na Chelsea, n.k. n.k
Punguzeni wivu na chuki binafsi.
Mpira wa pasi ambao hauna chembe ya ubingwa? Unataka tucheze mpira wa kuznguka uwanjani tu bila kujua nini wachezaji wanafanya na still tunagongwa 3 kizembe kabisa na timu inayoongozwa na kocha huyo alokuwa hajachukua ubingwa?Ila mashabiki wa united washangilie mpira wa pasi tu hayo mambo ya liverpool hatuyataki bora tuendelee kupigwa kuliko kushangilia mpira usio na hata chembe ya ubingwa fulani hata carabao
Ukipigwa 6 halafu hubebi ubingwa unafanya nini kama sio kubebewa mabango? Alikuwa akipigwa 6 kabatin kuna vitu sasa unapiga pasi kama spurs mwisho wa msimu hamna kitu hata game ya final na ajax tulipak basi mbona hamkuacha kushangilia ubingwa? Mkiwa mnafurahia ushindi na nyakat ngumu vumilieniMpira wa pasi ambao hauna chembe ya ubingwa? Unataka tucheze mpira wa kuznguka uwanjani tu bila kujua nini wachezaji wanafanya na still tunagongwa 3 kizembe kabisa na timu inayoongozwa na kocha huyo alokuwa hajachukua ubingwa?
Sifikiri kama hata mpira wenyewe unatizama ukaona uharo wa MUFC.
Tulishafungwa 6 na MCFC wakati kocha akiwa SAF, lakini hatujawahi kuonesha perfomance mbovu kama tulopigwa 3 na totenham.
Tushafungwa sana wakati wa SAF, lakini unajua kabisa kama siku hio wachezaji wamefanya kila mbinu kuokoa Jahazi lakini wameshindwa.
Unataka tuongozwa na mtu ambae anaona jahazi linazama lakini bado anaamini halizami?
Wewe kweli ni fan wa MU fans na sio fan wa MU.
SAF kapigwa sita lakini hajabebewa bango. Unajua kwanini?Ukipigwa 6 halafu hubebi ubingwa unafanya nini kama sio kubebewa mabango? Alikuwa akipigwa 6 kabatin kuna vitu sasa unapiga pasi kama spurs mwisho wa msimu hamna kitu hata game ya final na ajax tulipak basi mbona hamkuacha kushangilia ubingwa? Mkiwa mnafurahia ushindi na nyakat ngumu vumilieni
Hivi unamjua bebe?SAF kapigwa sita lakini hajabebewa bango. Unajua kwanini?
Unaujua mpira lakini ndugu yangu? Tunatambua kuwa tunapitia kipindi cha mpito ambacho kitakuwa kigumu. Kwa taarifa yako fans wanaexpections na wamiliki wanakuwa na expectations. Hakuna shabiki ambae aliamini MOYES atachukua ubingwa, kila mtu alijua kuwa kipindi kigumu kimeanza.
Tatizo ambalo wewe hulijui, Tumemnunua PGBA for 80M pounds. for what perfomance so far? hata wewe ukienda Hotel ukalipa milioni moja kwa siku, lakini unakuta mhudumu resta anakupita hachukui oda yako lazima utakuwa furious hata kama hotel nzuri vipi. Tumemnunua Lukaku kwa mapesa tele, for what? Wakati MUFC inaspend 200M kununua wachezaji wawili, Wenzetu wanaspend 200m kununua watano na wote ni wazuri kuliko tuliowanunua sie! sasa what is the point of spending so much money for players that dont perform as they are supposed to?
Galactico ya madrid na huu usajili wa pogba nani alitakiwa awe na matumaini ya ubingwa halafu unahoji et ushabiki na kuujua mpira kuna muda muwe mnatumia busara kuuliz watu usajili wa mchezaj mmoja uje utegemee ubingwa utakuwa na wazimu kabisaSAF kapigwa sita lakini hajabebewa bango. Unajua kwanini?
Unaujua mpira lakini ndugu yangu? Tunatambua kuwa tunapitia kipindi cha mpito ambacho kitakuwa kigumu. Kwa taarifa yako fans wanaexpections na wamiliki wanakuwa na expectations. Hakuna shabiki ambae aliamini MOYES atachukua ubingwa, kila mtu alijua kuwa kipindi kigumu kimeanza.
Tatizo ambalo wewe hulijui, Tumemnunua PGBA for 80M pounds. for what perfomance so far? hata wewe ukienda Hotel ukalipa milioni moja kwa siku, lakini unakuta mhudumu resta anakupita hachukui oda yako lazima utakuwa furious hata kama hotel nzuri vipi. Tumemnunua Lukaku kwa mapesa tele, for what? Wakati MUFC inaspend 200M kununua wachezaji wawili, Wenzetu wanaspend 200m kununua watano na wote ni wazuri kuliko tuliowanunua sie! sasa what is the point of spending so much money for players that dont perform as they are supposed to?
Wapi nimesema kuwa ninategemea ubingwa kwa usajili wa mchezaji mmoja? mbona unajitungia vitu?Galactico ya madrid na huu usajili wa pogba nani alitakiwa awe na matumaini ya ubingwa halafu unahoji et ushabiki na kuujua mpira kuna muda muwe mnatumia busara kuuliz watu usajili wa mchezaj mmoja uje utegemee ubingwa utakuwa na wazimu kabisa
Mzee pogba mwenyewe anacheza na watu gani? Daaa so sad ndo.mana hata yeye huwa anachanganyikiwa kweli lingard akajenge combination na pogba? Au sanchez akajenge kombinetion na young????Wapi nimesema kuwa ninategemea ubingwa kwa usajili wa mchezaji mmoja? mbona unajitungia vitu?
Nimezungumza perfomance ya mchezaji. Galactico ya madrid wachezaji walikuwa wanacheza vizuri, huwezi kufananisha na uharo tunaouona uwanjani saiv.
Nakukumbusha, mi sizungumzii ubingwa, nazungumzia perfomance! unanunua gari la milioni 60 halafu bovu mwenzako amenunua ya milioni tano anakupita njiani anakucheka. WISE SPENDING!!!!!
Mpotezee huyo hajui lolote....umezungumza fact na umemzidi uelewa wa soka.....hovyo kabisa amesahau Pogba £89 lukaku 75 alafu eti Man u haina wachezaji bora utadhani hao wachezaj aliwakutamkuu sasa jinsia zinahusu nini ?
Kwa taarifa yako fans wanaexpections na wamiliki wanakuwa na expectations.
Moronho ndiyo nani mkuu haaahaa
Mzee pogba mwenyewe anacheza na watu gani? Daaa so sad ndo.mana hata yeye huwa anachanganyikiwa kweli lingard akajenge combination na pogba? Au sanchez akajenge kombinetion na young????
City alinunua nolito kama striker akafeli kapiga chini kachukua jesus
Kamchukua johnstone aliyumba kamleta lapote
Kachukua bravo kazingu kaleta kipa mwingine
Sasa kama aguero alikuwepo kwa nini apewe hela za striker?
Kulikuwa na silva,kdb na fernandinho lakin kaongeza gundogan,benardo silva kulikuwa na sterling lakin bado kachukua sane hivi nyie hamuoni mapungufu kwetu???? Unataka kocha acheze mpira mzur upi kama hapatiw watu wa nfumo wake?
Sasa ukiuza manchester united nani anakupa pesa? Pep hata hajauza pesa kapewa hizo combination zinakuja baada ya kukosa watu unafikir kocha anapenda? Hamna niliposifia soma uelewe matumiz ya pande zoteNani anapanga hizo combinations? Nani anamcheza Pogba na Lingard?
Ona sasa unasifia kazi anayoifanya Pep Man city..... Mchezaji akizingua unamfanya nini? na Unafanya nini baadae?