Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

Umeisoma vizuri lakini hio statement uloquote? kuna sehemu nimesema EXPECTATIONS ZA FANS NA WAMILIKI NI KUCHUKUA UBINGWA?

Hivi wewe unafikiri football is all about winning titles? kama ni ivo then where is the fun in the sports?

Madrid walikua na wachezaji best na wazuri na walikuwa hawachukui ubingwa, lakini walikuwa wanacheza mpira mzuri sana tena sana.

Labda nikupe mfano mdogo, Mfano Madrid amemchezesha Cassilas kipa na akafungwa 2 bila. Halafu MU yeye akamchezesha Lukaku kipa na yeye akafungwa 2, unafikiri ina make sense?
 
Hivi unajua maana ya matarijio? Kama walikuwa wakicheza mpira madrid mzuri kwa nini makocha walifukuzwa kama mpira si makombe
 
Sasa ukiuza manchester united nani anakupa pesa? Pep hata hajauza pesa kapewa hizo combination zinakuja baada ya kukosa watu unafikir kocha anapenda? Hamna niliposifia soma uelewe matumiz ya pande zote
Kwani nikuulize, nani kamzuia MOU kufanya offloading kwa ajili ya kuleta wengine? Hivi kuna pesa ametaka akawa hajapewa?

Woodward ametumia hela nyingi kuwapa makocha ndani ya season 4 tu. How much we spent in 20 seasons or so with SAF? and what have we achieved?
 
Blind kauzwa kanunuliwa nani? Inafika kipind hadi darmian anatakiwa kuondoka kocha anakataa mana haoni kama kuna usajili hiv unatambua?
 
Hivi unajua maana ya matarijio? Kama walikuwa wakicheza mpira madrid mzuri kwa nini makocha walifukuzwa kama mpira sio na makombe?
Huu unaoleta wewe ni utoto....

Kwenye mkataba MOU anaweza kuambiwa matarajio yetu mara hii uchukue EPL na FA. Mfano mdogo baada ya MUFC kutoshiriki UEFA, matarajio ya mabosi ni kuwa timu irudi UEFA ili kusecure dili la adidas, na hawakuwa na matarijio ya kuchukua ubingwa uefa.

Ivi what is the biggest european club achievement than CHAMPIONS LEAGUE TITLE? Ancelloti kachukua na kafukuzwa. Unajua kwanini? Matarajio yao yalikuwa ni La Liga kwanza ambayo walikuwa na ukame nayo!
 
Blind kauzwa kanunuliwa nani? Inafika kipind hadi darmian anatakiwa kuondoka kocha anakataa mana haoni kama kuna usajili hiv unatambua?
Kutonunuliwa mchezaji unataka kumlaumu nani?

Ivi nitajie mchezaji mmoja ambae MOU amemtaka lakini Woodward kashindwa kumleta kwa kikwazo cha fedha
 
Mzee wewe ndo mtoto unaweza kuwa sasa kama mourinho kwenye mkataba kuna hicho kipendele cha kufika top four na style yake ya mpira wameielewa had mwez wa kwanza kapewa mkataba unalalama nini?
 
Mzee wewe ndo mtoto unaweza kuwa sasa kama mourinho kwenye mkataba kuna hicho kipendele cha kufika top four na style yake ya mpira wameielewa had mwez wa kwanza kapewa mkataba unalalama nini?
Ndio maana nkawa na mashaka juu ya ujuaji wako wa mpira. Ili tufike top 4, tunune mchezaji kwa 80M acheze kama mchezaji wa 15M.... πŸ˜€ umenifanya nicheke sana
 
Ndio maana nkawa na mashaka juu ya ujuaji wako wa mpira. Ili tufike top 4, tunune mchezaji kwa 80M acheze kama mchezaji wa 15M.... πŸ˜€ umenifanya nicheke sana
Sasa kabla ya hao wa 80 uliwah kuingia?
 
Una muuliza nani uliniambia nikutajie watano?
Hukufahamu how i asked you the question.... Anyways, is he worth that Money au Inter walikuwa hawataki kumuuza na kuweka price which is not reasonable? Kama nimekupa 75M ya kununua mchezaji mmoja, lakini hajanithibtishia bado kama hio ni thamani yake kweli na bado ni mdogo, tena unafikiri itakuwa rahisi kutoa 50M kununua mchezaji ambae ashafikia mwishoni?
 
Sasa kabla ya hao wa 80 uliwah kuingia?
Yeah, tulikuwa tunawachezaji cheap. Model yetu ilikuwa kama wenger, spending less and bringing out talents from the academy!

Tumenunua RVP kwa 24M tu. Lakini alitisha na kuonesha Uwezo!!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ mpira umeanza kuangalia wakati wa Moyes nini bro?
 
Ndio maana nkawa na mashaka juu ya ujuaji wako wa mpira. Ili tufike top 4, tunune mchezaji kwa 80M acheze kama mchezaji wa 15M.... πŸ˜€ umenifanya nicheke sana
Sir alex kocha bingwa anaujua mpira alikuwa anakaa kwa pep ane pep kocha bora anaujua mpira anakaa kwa klopp sasa wewe hata timu ya mtaa hujacheza unajidai kuujua halafu huwa ni watu washamba ambao huwa na swaga kama zako sijui umeanza lini kuujua mpira mara unaujua mpira kuujua au kutokuujua ndo ukubali upuuzi wako?
 
Kweli wewe hovyo sana vidic na ferdinand hawakuwepo nyuma? Scholes,giggs rooney walikuwa cheap? Nani na evra walikuwa wamesepa ndo mana nimekwambia wewe mshamba huoni kama rvp kaja timu ikiwa na msingi wake?


Dogo hao nimekutajia kwa uchache tu
 
Halafu kwa kipindi kile hiyo 24m kwa mtu aliekuwa na maika 29 injury prone unaona ilikuwa pesa ndogo? Eti kocha mjuzi wa mpira
 
Naona sasa na wewe unaswaga hizo hizo πŸ˜€

Ndio kila kocha anatulia kwa mwengine.... ila MOU anatulia kwa yoyote tu saiv na mapesa yote aliotumia.

Unajuaje kuwa sijacheza hata timu ya mtaa? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Umepanic baada ya kuambiwa ukweli
 
Ukweli wa kwamba kocha anacheza soka bovu au wewe kucheza mpira unajua? Hizo swaga nimekwambia za kishamba huna tofauti na watoto ambao wanawalingishia wenzao magari ya serikali ni ya baba zao wakat ni madereva mpira huwezi kucheza na hujacheza shabikiaga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…