Mbona unaongea upupu....Kweli wewe hovyo sana vidic na ferdinand hawakuwepo nyuma? Scholes,giggs rooney walikuwa cheap? Nani na evra walikuwa wamesepa ndo mana nimekwambia wewe mshamba huoni kama rvp kaja timu ikiwa na msingi wake?
Dogo hao nimekutajia kwa uchache tu
Kumbuka kuwa Mourinho alijulikana zaidi na kuanza kumgombea baada ya kuipa ubingwa wa UEFA Champions League timu ya Sporting Lisbon ya Ureno ambayo haikuwa hata na mchezaji mmoja wa world class.Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.
Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
Kumbuka kuwa Mourinho alijulikana zaidi na kuanza kumgombea baada ya kuipa ubingwa wa UEFA Champions League timu ya Sporting Lisbon ya Ureno ambayo haikuwa hata na mchezaji mmoja wa world class.Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.
Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
ahahahaha.... lete hoja sio vioja ndugu.... Kocha anacheza soka bovu na linaonekana uwanjani, ndio maana nkasema wewe mpira umeanza kushabikia wakati wa moyes pengine..... Unanunua mchezaji kwa 80M akisha mtu yupo mbele yake anaenda kutoa mpira njeUkweli wa kwamba kocha anacheza soka bovu au wewe kucheza mpira unajua? Hizo swaga nimekwambia za kishamba huna tofauti na watoto ambao wanawalingishia wenzao magari ya serikali ni ya baba zao wakat ni madereva mpira huwezi kucheza na hujacheza shabikiaga tu
Wewe ndo unaongea upupu kwamba Rvp kaja tumebeba ubingwa huo ubingwa ulibeba na wakina bailly?Mbona unaongea upupu....
Nikuulize machache tu;
Giggs kanunuliwa kiasi gani na Scholes kanunuliwa kiasi gani?
Kwani nyuma hakuna Baily, Lindelof, Luke shaw, Jones, Smalling De Gea......?
Rooney tumenunua kwa 37M tu. Na ameperform vizuri sana... unamfananisha Lukaku ambae tumespend 75M?
Unajua unapozidi kuandika, ndipo unapoonesha umbumbu wako.....
Vioja naviona kwako Kocha nacheza soka bovu ilikuwaaje mwez wa kwanza kaongezewa mkataba wakati wa awali ulikuwa unaisha mwaka huu?ahahahaha.... lete hoja sio vioja ndugu.... Kocha anacheza soka bovu na linaonekana uwanjani, ndio maana nkasema wewe mpira umeanza kushabikia wakati wa moyes pengine..... Unanunua mchezaji kwa 80M akisha mtu yupo mbele yake anaenda kutoa mpira nje
24M ilikuwa ndogo kwa mtu kama RVP. kwa sababu kwenye season yake ya kwanza ameonesha kuwa 24M haikuwa lolote na tumefanya right investment.Halafu kwa kipindi kile hiyo 24m kwa mtu aliekuwa na maika 29 injury prone unaona ilikuwa pesa ndogo? Eti kocha mjuzi wa mpira
Hivi unajua soko la wachezaji ktk miaka hii ni tofauti na kipindi ananunuliwa rooney?...kipindi hiki team hazisubiri mpk mshambuliaji awe na jina kubwa ndio anunuliwe kwa pesa nyingi.Mbona unaongea upupu....
Nikuulize machache tu;
Giggs kanunuliwa kiasi gani na Scholes kanunuliwa kiasi gani?
Kwani nyuma hakuna Baily, Lindelof, Luke shaw, Jones, Smalling De Gea......?
Rooney tumenunua kwa 37M tu. Na ameperform vizuri sana... unamfananisha Lukaku ambae tumespend 75M?
Unajua unapozidi kuandika, ndipo unapoonesha umbumbu wako.....
Ndio ilikuwa ndogo timu ilikuwa na watu gani?24M ilikuwa ndogo kwa mtu kama RVP. kwa sababu kwenye season yake ya kwanza ameonesha kuwa 24M haikuwa lolote na tumefanya right investment.
Wewe ndo unaongea upupu kwamba Rvp kaja tumebeba ubingwa huo ubingwa ulibeba na wakina bailly?
Unajua wewe unajidai kuujua mpira lakin kichwan hamna kitu huyo rooney aliwakuta wakina nani ktk timu? Timu ya sasa ina misingi gani yani timu sir alex ifanane na mourinho huu si uchizi sasa
Ukinambia scholes na giggs bei gani bado nakuona huna kitu kichwani nimekuuliza Rvp alipokuja na hakuwakuta hao wapambanaji?
Rvp alibak wakina scholes na giggs walistaafu alifunga goli ngapi?
Misingi ya timu ikitoweka hata umlete mess utaponda tu
Kaka alinunuliwa kwa pesa gani? Alifanya nini?😀 😀 😀 mwisho wa siku utaishia pale pale kuwa MOU ndio responsible wa failure zetu uwanjani.
Hao unaowazungumza, wamenunuliwa kwa kiasi gani na how did they deliver?
Hao aliowanunua MOU walinunuliwa kwa kiasi gani and how did they deliver?
Kwaio unakubali kuwa MOU hana uwezo na hajui kuspend wisely anachopewa?Ndio ilikuwa ndogo timu ilikuwa na watu gani?
Na kocha alikuwa nani yani kaa hii ajabu alichofanya elex afanye mouronho ya ronaldo afanye sanchez hizi bangi
Kaka kutoka wapi kwenda wapi kwanza?Kaka alinunuliwa kwa pesa gani? Alifanya nini?
Ac milan kwenda madridKaka kutoka wapi kwenda wapi kwanza?
Kwa hiyo pep kwa bravo,johnstone na nolito ilikuwaje?Kwaio unakubali kuwa MOU hana uwezo na hajui kuspend wisely anachopewa?
Very good.Ac milan kwenda madrid
Masikini ya Mungu eti commercial interest Mungu akusamehe makocha waliofukuzwa kwa kushindwa kuipa la liga ilikuwa ni usajili wa biashara??? Kama ni baishara kwa nini makocha wafukuzwe unajidai kuujua mpira mzee ficha ujinga wako nakwambia tena acha ushamba wa kujidai kuujua mpira siwez kukwambia ni kwa muda gani nipo ktk football maana mimi si limbukeniVery good.
Unazungumzia kipindi RM walikuwa na commercial interest na sio winning titles interest.
Ndio maana nna mashaka na ujuaji wako wa Mpira.... Kipindi hicho kama unakumbuka vizuri, mchezaji akiwika tu sehemu, madrid hao wanatoa ofa wanamchukua siku ya pili unasikia madrid wamejilipa na kupata faida kwa kuuza jezi za mchezaji! Hii ndio sacrifice waliofanya madrid. They bought players not because of their perfomance, lakini ni kwa sababu ya biashara. Unataka MUFC iwe hivi sio? Kwa sababu currently, MUFC imechukua hii kazi ya kibiashara zaid kuliko kimpira. Ivi ndivo unavotaka wewe iwe au sivo? business first and football later!
Ofcourse kachemka!!..Kwa hiyo pep kwa bravo,johnstone na nolito ilikuwaje?
Msee... Kafukuzwa Ancelotti aliechukua UEFA, you think they care if you win titles or not?Masikini ya Mungu eti commercial interest Mungu akusamehe makocha waliofukuzwa kwa kushindwa kuipa la liga ilikuwa ni usajili wa biashara??? Kama ni baishara kwa nini makocha wafukuzwe unajidai kuujua mpira mzee ficha ujinga wako nakwambia tena acha ushamba wa kujidai kuujua mpira siwez kukwambia ni kwa muda gani nipo ktk football maana mimi si limbukeni
Kwa muda gani madrid wameteseka kwenye kimvuli cha barca? Daaa mzee swaga zako za kusema unajua unaongea nani kwa sasa hazina mashiko.
Unajenga timu ambayo ina key players tayar acha utaniOfcourse kachemka!!..
Nihadithie alifanya nini baada ya kujua amechemka?
Hapa nakupa summery ya spendings kidogo uone how wisely PEP spent....
Manchester United 2016-17 -Total spent = 145.3m - 3 Players
Manchester City 2016-17 – Total spent = £167.15m - 8 Players
Difference of amount spent is 21.85 Difference in player brought in 5 Players
Manchester United 2017-18 – Total spent = £146m - 3 Players
Manchester City 2017-18 – Total spent = £198.7m - 5 players
Difference of amount spent is 52.7 Difference in player brought in 2 Players
Numbers zinazungumza nani anajua kujenga timu na nani anajua kuvuruga