Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

Tutamsaidiaje rais wakati yeye ni mtuhumiwa namba moja. Ilikuwaje akamrudisha Bashite madarakani wakati ana tuhuma nzito za kushiriki utekaji na mauaji? Haipendezi wazee kama wewe kuwa chawa
Kwa nini umtuhumu huyu na si huyo wa hapo Mzizima?
 

Mwalimu Nyerere, hakuwa wa kawaida. Anachokisema hapo si kitu kidogo. Anasema ukweli kuhusu unafiki wetu. Christians have made a mess in this world, or rather people who worship other gods and claim to be the christians.
Ingawa, Nicaragua pia, liberation theology imefeli. Ujinga wa ukomunisti umewavaa. Kina Ortega wamewasahau maskini wanakula wao na rafiki zao
 
Mbona taarifa nyingi

Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa

Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa

Matamko yanatosha sasa
Akina nani wanaochunguza?
Kwenye kadhia hii:-
Jeshi la Polisi ni Watuhumiwa wakubwa Namba 1.
Tiss nao ni Watuhumiwa wakubwa Namba 2.

Sasa nani hasa anayepswa kuchunguza suala hili ikiwa Kama wale waliotakiwa wawe wachunguzi ndio watuhumiwa wakuu wa Uhalifu huo?
 
Tuhuma za hisia bila ushahidi
 
Ni kweli kabisa ni kama moderator wa JF siku hizi wamekuwa waoga Sana.
Kutokana na masharti ya Jf hao siyo waoga ila ni kazi maalumu ama watu jamii ya Msigwa!

Ni genge lilishapenyeshwa humu, wapo ma mod kibao pamoja na members mf. Tlahtlah na wengineo wa mfano huo, ni mwendo wa kubishana, kuitetea Serikali na kufuta nyuzi hata kuwe kumetokea jambo gani la kukera watawala wamefanya.

Sasa hivi point yoyote ya maana inayoigusa Serikali lazima ifutwe ama iunganishwe na mada nyingine.

Kungelikuwa na platform nyingine ya maana ningelog off kitambo, baada kuona kuna mamluki washapenyezwa kilingeni.
 
Mbona taarifa nyingi

Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa

Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa

Matamko yanatosha sasa
Waoga nyie! mna majeshi yote na silaha zote lakini mnaogopa matamko!

Ndio maana kikosi cha magari mawili yaliojaa “watu” na silaha nzito yanaongozana kumteka “mtu” mmoja tena mzee (RIP) sometimes likikosi lote linawafuata vijana wadogo wadogo tu.

Huwa mnadhani mnawatia raia uoga lakini kimsingi mnajiweka hadharani jinsi mlivyo waoga na mmejaa hofu, heri yenu sababu bado mnaongoza maiti!!!!!
 
Hii inawahusu sana na nyie Moderator wote muache kufuta nyuzi ambazo watu wanajaribu kufunua mambo yaliyo fichika. Watu wanajitahidi kuweka mambo hadharani nyie mnafuta. Mnatupa mashaka sana watumiaji wa huu mtandao.
Ndiomana watu wengi wamehamia tweeter "X". JF ya sasa si ile tuliyokuwa tumeizoea.
 
Mzee wangu ,babu yangu , mzee Butiku ,anazeeka sasa ,
Kama anazeeka vizuri na Busara zake zote na Uzalendo usioyumba, what is the problem? Mzee anayejitambua kwa namna ya kipekee ! He is a role model to this Nation, sio kama wale wazee wengine of his generation ninaowajua ambao hata waliokuwa na nafasi kubwa zaidi yake Serikalini , sitting to the top most seat of Power in our Nation , but are always turning their eyes blind and deaf eared during such times of crisis . Shames up on them and we pray to Allah that the Hottest Place in Hell should be deserved for them ( especially to "Him" the former Number ....the smiling killer !)
 

Wasiojulikana wanafahamika na askari polisi wa Oysterbay Police Station na RPC wa Tanga katika kesi ya Sativa na ya Kombo Mbwana

View: https://m.youtube.com/watch?v=okVNdL59wLU
 
Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.
Katibu mkuu ni mtu aliye karibu sana na aliyekuwa afisa ubalozi ktk ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Suleiman Mombo.

Nchimbi asichukizwe na tamko la CHADEMA, bali iwe chachu ya kuichagiza serikali ya CCM na vyombo vya dola kulipata hili dude lililowahifadhi watu wasiojulikana wanaoteka watu, kushikilia kupoteza na kuua :


13 September 2024

SAKATA LA UTEKAJI CCM WATOA TAMKO KUPITIA NCHIMBI, WACHUKIZWA NA KAULI ZA CHADEMA


View: https://m.youtube.com/watch?v=wzhd5pVK0zs
Dr. Emmanuel Nchimbi na Suleiman Mombo wameishi jijini Brasil katika ubalozi wa Tanzania. Wameona na kusikia makundi ya kihalifu kule Ecuador, El Salvador na mataifa kadhaa ya bara la Latino Amerika ambayo yalikuja kuwa hatari siyo kwa raia tu bali hata serikali zilizo madarakani.

Ukaribu wa Katibu mkuu Emmanuel Nchiimbi na Mkuu wa Usalama wa Taifa Suleiman Mombo ni lulu ambayo ikitumika kwa uzuri na nia njema ya kukipata kikundi hiki cha wasiojulikana ni wakati huu wa sasa.

Dr. Emmanuel Nchimbi na mkuu Sukeiman Mombo waielekeze hali hiyo ya kuchukizwa kwa Kundi la Watu Wasiojulikana watumie ushawishi wao, rasilimali za serikali na waajiriwa safi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuweza kuwatia mbaroni watu hawa wasiojulikana na kutupa umma mrejesho wa mafanikio ya kazi waliyopewa na mwenyekiti wa CCM ambaye ni rais wa JMT kuwasaka haraka watu hawa wanaoleta hofu kwa kuteka na kuua watu.
.PICHA TOKA MAKTABA :

Mhe. Rais Michel Temer na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil Mhe. Aloysio Nunes Ferreira Filho (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.

Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais
 
Vita dhidi Makundi ya wahuni nchini Ecuador nchi ya bara la Amerika ya Kusini ambapo Tanzania inaweza kujifunza jinsi ya kupambana na makundi ya wahuni waliopachikwa watu wasiojulikana:

By Jorge R. Imbaquingo | March 21, 2024
President Noboa has deployed more than 30,000 soldiers and policemen to contain the chaos. While homicides have fallen, kidnappings and extortion remain high.

Ecuadorian soldiers carry out an anti-gang operation in Guayaquil on Feb. 5John Moore/Getty Images
FacebookXLinkedInThreadsEmailShare
Reading Time: 4 minutes
QUITO — Two months have passed since Ecuador’s President Daniel Noboa declared a “state of internal conflict” and deployed more than 30,000 security forces to deal with scenes of drug-related violence that shocked the country and, indeed, the world.

The emerging picture is of a very popular president, boasting an 80% approval rating as Ecuadorians rally behind his crackdown; an apparent decline in homicides, but persistent levels of other criminality, including kidnappings and extortion; and a great deal of information we simply don’t know, as the government seeks to control the narrative and hold the country together.

Noboa, just 36, had an unprecedented start to an unusually shortened term. Mostly reserved and soft-spoken, he has granted only a few interviews to local and international news outlets, maintaining nevertheless an upbeat tone about the outcome of the fight against organized crime.

“We have notably improved on issues like security, reducing dramatically the number of daily violent deaths that were the byproduct of a state overtaken by narcoterrorism,” he said in an interview with CNN en Español earlier this month. Most observers believe he is clearly paving the way to run again for the presidency at the next election in February 2025....
Read more : Ecuador's War on Drug Gangs: A Mixed Picture So Far
 
Huyu mwandishi Benjamini Mzinga ana mambo ya kichoko sana anabembelezea UDC na yeye .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…