Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

Lakini umma wa ndani tayari kupitia kelele za wananchi zinampa mamlaka rais awashughulikie kwa mujubu wa sheria Maliyamungu na wavuta bangi wenzie wote waliopo katika Task Force.
Swali ambalo ninapenda kuuliza ni hili:
Kwani hii "Task Force" iliundwa hasa kwa sababu zipi? Ni nani aliunda hii Kikosi Kazi?
 
Kwa wale waliosomea Cuba tu ,
Naomba ufafanuzi kidogo kwa kile alichokisema Mzee Butiku na kukusisitiza kwamba
Tunaye Rais mmoja tu wa Tanzania 🇹🇿
Hatuna maraisi wawili wala watatu tunaye mmoja tu !

Ambaye ndiye anayetakiwa na Katiba kuiendesha Nchi kwa mujibu wa Sheria na kuilinda Katiba ya Nchi kama alivyoapa kuilinda !

Je Taasisi yake Mzee Butiku imehisi wapo wengine huko pembeni ndio wanaoleta hizi Tafrani ???!!
Ile Taasisi nyeti Ina mamlaka sawa na aliyepo, shida ni haionekani.

Sasa wananchi tupambanie Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.
 
Sasa Si waache KAZI ikiwa imewashinda,

Waandishi wenzao tunawaona gaza wakikwepa mabomu kupata habari, hapa wanawaogopa wajinga wajinga!!
nenda ukawe mwandishi. mwandishi anaripoti habari,sio habari unayoitaka ww. ndio maana kuna investigative journalists, newcasters nk. usi-generalize waandishi wa habari
 
nenda ukawe mwandishi. mwandishi anaripoti habari,sio habari unayoitaka ww. ndio maana kuna investigative journalists, newcasters nk. usi-generalize waandishi wa habari
Sasa unaripoti habari bila kuchunguza ni ya Kweli au la?

Utasubiri habari za kuletewa?

By the way, investigative journalist wako wapi Nchi hii?
 
nenda ukawe mwandishi. mwandishi anaripoti habari,sio habari unayoitaka ww. ndio maana kuna investigative journalists, newcasters nk. usi-generalize waandishi wa habari
Waandishi ni waandishi tu kabla ya kuwaweka kimahsusi.

Kanuni za kiuandishi ni zile zile isipokuwa mbinu za kutafuta habari ndiyo hutofautiana.

Waandishi wetu wanashangaza maana sehemu muhimu ya habari ni kuweka urari. Wao wanaikwepa Kwa hofu za kukosa maslahi na Wala si kwa hofu ya kuuawa.
 
Back
Top Bottom