Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Yaani mtu kaumwa muda wote huo halafu unauliza why amekonda sana? Watu mna masihara sana

Waafrika wengi wana vinasaba vya uchawi. Kuwaombea wenzao mabaya tu. Halafu wanafikiria kufa ni big deal. Kumbe wote tunakufa, tena kwa maajabu ya Mungu sasa, mgonjwa anaweza kubaki, mzima akatangulia mbele ya haki
 
Wewe ni daktari wake mkuu? Na hata kama ni daktari wake amekuruhusu useme ugonjwa wake kwa jamii?
mkuu kwani huo ugonjwa wa ukimwi why ukitajwa ni lazima uhitaji ruhusa ya daktari?.mbona tunataja kila siku watu kuumwa cancer, BP, nimonia, kisukari, malaria, homa, etc bila ruhusa ya madaktari?.hayo yote si ni magonjwa?.au tofauti yake ni nini hasa hadi moja kuonekana linahitaji ruhusa ya dokta kulitaja?
 
Back
Top Bottom