Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Maswali mengine yanashangaza.

Mtu ameumwa kwa zaidi ya mwaka, halafu unashangaa kuona kapungua mwili!

Lililo muhimu ni kubwa kuliko yote, ndugu yetu yu hai, na anazidi kuimarika. Ameamka akiwa na kumbukumbu yake kamili. Kukaa ICU kwa siku zote hizo, angeweza kupoteza hata kumbukumbu.

Mungu yu mwema, tunashukuru kwaajili ya ndugu yetu J kuupata uponyaji.
 
Bro!

Tafadhali weka mahaba pembeni changia ukiwa na akili huru za utu,maisha ya matibabu Tanzania ni mabaya sana usiombe yakukute hasa uwe huna hela.

Naandika haya nimeshuhudia yupo mtu anakosa 500/= ya kununua paracetamol atulize maumivu ili ajue aende akafie wapi na yupo duka la dawa la serikali na hakuna anayemsikiliza,mimi sina roho mbaya kwamba sitaki Jay apone nazungumza uhalisia wa maisha ya Mtanzania wa hali ya chini yule asiyeijua leo yake ataiishi vipi.
This is Fucking Government And Africa is cursed continent ,

Najua vizuri what peoples going through so Tunaomba sir God laana iwe Juu Yao Viongozi wote wa Africa , Prof got VVIP treatment the first reason it was deu to his Fame and political mileage
 
Acha maswali ya kitoto.Na si lazima uamini .
Sina sababu yoyote ya kukuamini sababu Wewe ni mwanamke usiyethamini privacy za binadamu wengine. Watu wa aina yako husambaza lolote ilimradi kalisambaza na hata kama upo sahihi Suala la UKIMWI ni suala binafsi, mhusika ndo mwenye uhuru wa kulisemea hivyo unabaki kuwa MWANAMKE USIYEHESHIMU PRIVACY YA BINADAMU WENGINE.
 
Sipendi kusema watu lakini mdomo wake umelika kwasababu ya pombe. Ujumbe hapa ukifika miaka 40 jitahidi achana na pombe za kuzidi, sukari, vyakula vya wanga, fanya mazoezi na medical check up!. Bila kuelezana ukweli na vitu vilivyo changia tatizo lakini hatuta tenda haki kutoa elimu ya afya. Pole sana Prof Jay
Kwahyo tuseme na azizi ki naye anpiga Sana tungi
 
Back
Top Bottom